Buhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no taifa linalo kula chakula maana ya ndizi sio nafaka wala mizizi ndo taifa linalopewa chakula toka mbinguni yaani mana(senene)maana hadi Leo Hakuna mtu anaye jua chimbuko la senene hivyo wahaya ni taifa teule