Kama watu wote wanaonywa kuhusu siasa wakimaliza waliopo wote tutakuwa wafanyabiashara,wavuvi,kilimo,ujasiriamali. Tutafika wakati tutaondoa mambo ya kuwa na wabunge, na vyeo vyote vya siasa wakimaliza waliopo.
Mwenyezi Mungu anajua zaidi yetu, anajua binadamu ni wadhaifu, mke mmoja hawezi kukumalizia furaha hasa kama maisha yako unajiweza. Mkiishi sana mnachokana na ni rahisi mmoja wenu kubadilisha mawazo. Mwanamke akipata mwenzake anapata muda wa kujiandaa na kujipanga zaidi ana anapata kujisawazisha...
Ugumu wote huo na sitofahamu ukiwa na hili huna lile yote imechangiwa na maisha magumu tu. Kama maisha ya wananchi ni mazuri kias wala hakuna kukwamisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.