Nina mashaka na kingo za barabara ya Tazara Flyover

Nina mashaka na kingo za barabara ya Tazara Flyover

Tusubiri mpaka wamalize kwanza ndiyo tunaweza kuona mapungufu.
Nilibahatika kufanya ukaguzi wa Tazara fly over na Airport terminal three kwa usimamizi wa bodi ya wahandisi Tanzania ERB niliyoyaona naomba tuwe na subira mpaka siku ya makabidhiano.
 
Haya tupe mfana wa flyover unaujua wewe
flyover-mksr-antara.jpg


Daraja hilo.
 
Tusubiri mpaka wamalize kwanza ndiyo tunaweza kuona mapungufu.
Nilibahatika kufanya ukaguzi wa Tazara fly over na Airport terminal three kwa usimamizi wa bodi ya wahandisi Tanzania ERB niliyoyaona naomba tuwe na subira mpaka siku ya makabidhiano.
Flyover ya Tazara ndo iko mwishoni kumalizika na vitu vya msingi ndo vile tunavyoviona yaliyobaki ni docoration tu yaani ndo wanamalizia tu kupamba pamba tu.
 
Mimi tatizo langu naona foleni INAHAMISHWA KUTOKA TAZARA NA KULETWA CHANG'OMBE VETA MATAA! Barabara hiyo hiyo! Sijui kama wamewaza vizuri hili!
Aisee umewaza kwa akili kubwa sana. Hii nayo ilibidi ijengwa sambamba na ile ya tazara
 
Kama una mashaka na kingo ni jambo jema, endesha kwa uangalifu ili usizigonge na kudumbukia chadema wakapoteza kura yako.
Kumbe uwa unapita na kubwata tu lakini hauko makini, unamjua mleta mada?
 
Mimi tatizo langu naona foleni INAHAMISHWA KUTOKA TAZARA NA KULETWA CHANG'OMBE VETA MATAA! Barabara hiyo hiyo! Sijui kama wamewaza vizuri hili!
Ni kweli yaana wamehamisha pesa mkono wa kushoto halafu wamepeleka mkono wa kulia, kiwango kiko pale pale, na ndio maana kuna mpango wa kujenga flyover saba zingine Dar, ikiwemo Chang'ombe, Mwenge, Morocco, Tabata, uhasibu..nk..
 
Kama una mashaka na kingo ni jambo jema, endesha kwa uangalifu ili usizigonge na kudumbukia chadema wakapoteza kura yako.
Huyo Jamaa ni ccm mwenzako kindaki ndaki ...."" kuna wakati unapaswa kuweka ushabiki wa vyama kando "" kisha uanze kuzitazama changamoto zinazolikabili taifa kwa jicho la Tatu ...kwajili ya manufaa yako yakizazi chako kilichopo na kijacho "" jifunze kuukubali muonekano wa rangi "" na kuelewa kiwa ndio muonekano wake halisi ...inasikitisha sana " "mnapo amua kusema nyesui ni nyeupe wakati mnajua fika kuwa hiyo sio taswira ya muonekano wake
 
Kwavile mkandalasi sio mzawa
ni mjapani wala sina wasiwasi
 
Nimekuwa nikiangalia sana kingo za pembeni za barabara ya Tazara Flyover zinazojengwa nikilinganisha na barabara za juu za nchi nyingine hata ring road za Kenya tu hapo kwenye barabara ya Thika super high way napata mashaka sana kuwa kuna siku ikishafunguliwa tutazipata gari zingine zikiacha njia na kutumbukia nchini.

Wenzetu huko majuu hayo maeneo ya pembeni huwa wanaweka zege hasa kwa urefu reasonable lakini hapa Tazara naona zege fupi kiasi then wameunganisha na mabomba ya chuma kama kingo sasa sijui kiukweli kama baadhi ya madereva wetu wahatapata dhahama.

Hata pale Daraja la Nyerere Kigamboni kingo ni ndefu na imara sana ukilinganisha na hapo Tazara.

Sijui labda ndo viwango vya kimataifa wanavyovijua mainjia wetu mimi sio injinia.
ulipotembelea wiki iliyopita kwa nini usingemuuliza swali Waziri Mbarawa au Mkurugenzi wa Tanroads Mkoa?
 
Back
Top Bottom