iPhone X yaongoza kwa mauzo duniani

Screenshot_20180609-235649.png
 
Yaaaan kuna ma LG flan hivi yametoka juz tu lakin watu wawil mjini wanayo hapa, Dunia sasa hivi imekuwa ndogo sna, ukitumia Ali baba siku saba na DHL mzigo umefika
 
Tunaotumia Acer phones nadhani tunahesabika...hahahahahahaha sometimes kua unique raha
 
Kuna mdau hapo juu kasema hata copy 500 za X hakuna bongo hii, labda 5,000 kwa iPhone model zote, haya sasa!

ukweli wa mambo ni kuwa,kwenye takwimu zao za kimauzo makampuni yote makubwa huwa mauzo ya afrika nzima huwa hawayatilii maanani sababu soko letu liko so disorganised kuweza kupata takwimu kwa usahihi.hivyo product mpya ikiingia sokoni mauzo huwa yako based asia,europe na marekani ya kusini.soko la china ndio test nzuri ya kukubalika kwa simu mpya hasa iphone na sumsung
 
Iki pungua bei mpaka ikafika laki 4.5-5 nishtueni

Utasuburi sana mkuu,fumba macho tu ununue wakati ziko hot.bei ya x kufika level hiyo ya bei nadhani dunia itakuwa imefika mbali sana na hii technology itakuwa so outdated.iphone 5s tu haijafika hiyo bei mpaka sasa unless ununue used.
 
Yaani anunue 5S wakati kuna X?
 
Hizi ni juhudi za kiutendaji za rahis wetu mtukufu jpm....hoyeeeeeee hoyeeeeeee
 
ukweli wa mambo ni kuwa,kwenye takwimu zao za kimauzo makampuni yote makubwa huwa mauzo ya afrika nzima huwa hawayatilii maanani sababu soko letu liko so disorganised kuweza kupata takwimu kwa usahihi.hivyo product mpya ikiingia sokoni mauzo huwa yako based asia,europe na marekani ya kusini.soko la china ndio test nzuri ya kukubalika kwa simu mpya hasa iphone na sumsung
Wanaweza sana kupata takwimu za mauzo ya Tanzania, ila its so insignificant kiasi kwamba kwao kuanza kufuatilia haina maana.
 
ukweli wa mambo ni kuwa,kwenye takwimu zao za kimauzo makampuni yote makubwa huwa mauzo ya afrika nzima huwa hawayatilii maanani sababu soko letu liko so disorganised kuweza kupata takwimu kwa usahihi.hivyo product mpya ikiingia sokoni mauzo huwa yako based asia,europe na marekani ya kusini.soko la china ndio test nzuri ya kukubalika kwa simu mpya hasa iphone na sumsung
smartphone zote za sasa ukinunua lazima ui activate kabla hujaitumia, hivyo wanajua ulipo. atleast kwa simu mpya.

ila soko letu ni dogo sana, Africa nzima ni hivi.

gsmarena_001.jpg

sasa imagine nchi 52 zinapitwa na Nchi moja kama USA, India ama China.

Q2 2018 almost simu milioni 330 ziliuzwa dunia nzima.
 
Back
Top Bottom