Recent content by businessasusual4u

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Upo right Jay 1.. waziri alisema ni $3mil. Huyuu jamaa ameongezaa "00" zake...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Siooo $300million. Ni $3 million na Kampuni iliyopewa Ni Norplan. Naomba tusipotoshe wananchi.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Mikopo na wengine watatu wasimamishwa kazi

    Daaah... Dada zetuuu walikura hela zao kweli.... It's about time to equalize... wakamatee hadi vii Ist,Rav4 walizokuwa wanahonga. ...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ajali- Ubungo mataa

    Daah.. asante kwa tip hii..Ngoja tuanzee na alternative route...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Askari ajiua kwa kujipiga Risasi Mdomoni

    Wezi tuu mapolisi siku hizi.. KESI ya wizi wa fedha ndio wakwanza kuenda kuchunguzaa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    Weee acha kabisa. Wahindi wananyanyasaa lakini wafaransaa ni Balaaa..
  7. B

    JamiiForums Tanzania Unguja: Jambazi lauawa na Pingu mkononi

    Eeeh. Polisi wa pambane na majambazi hai nasi wananchi tutapambana na WEZI WA ESCROW ACCOUNT...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es saalam laongoza kwa gharama za maisha Afrika ya Mashariki

    Tembea arusha uone kama utakula kwa 4200. KikulachoChako
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

    Inabidi ufuatilie ofisi ya hazina..MOF.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wauza mafuta (petroli na dizeli)

    Serikali inachukua Tsh 658 kama Levy katika Tsh 1955..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku matumizi ya jina hili haraka

    Wewe jina lako lenyewe " Ududu" alafu unategemea serikali ukisikilize..anza mwenyewe kubadili jina lako...
  12. B

    JamiiForums Tanzania New Africa Hotel Yaungua Moto Mida hii

    Aisee.. wanataka kulipwa na insurance..
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wasomali walioteka meli ya Ufaransa walipwa fidia

    Aisee hizi haki za binadamu zipo applicable Tz???
  14. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO msikate umeme Wiki ijayo

    Naona kuna mgao jijini Dar. Leo mjini hakuna umeme tangu asubuhi sasa hivi tena wamekata usiku. Laiti sector hii isingekuwa monopolistic ningeshahama Tanesco.
  15. B

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ombi katika Tawi la Nmb Mwenge (Sinza) wahudumu wa Bank Tellers ni wachache na sehemu ya Bulk pia mara nyingi haina mtu mpaka uitiwe baada ya dakika 20-30 ukiwa unasubiri. Na kwa hali ya sasa juu ya bank kivamiwa ni hatari sana kwa mtu kukaa na hela nyingi ukiwa unasubiri huduma.
Back
Top Bottom