Mgomo wa wauza mafuta (petroli na dizeli)

Mgomo wa wauza mafuta (petroli na dizeli)

Bei ya mafuta soko la dunia imepunguwa zaidi ya asilimia hamsini. Bei ya mafuta nchini imepungua kwa kiasi gani ?
 
stock yao ya zamani imeisha?otherwise atakula hasara....ikipanda wanakuwaga waroho hawasubiri stock I is he ndo maana wanapandisha hapo hapo...
 
stock yao ya zamani imeisha?otherwise atakula hasara....ikipanda wanakuwaga waroho hawasubiri stock I is he ndo maana wanapandisha hapo hapo...

Kama huwa wanaingiza faida wasiyostahili ikipanda basi pia ikishuka wapate hasara wasiyostahili...
 
EWURA ni jibwa lisilo na meno, ndio maana wafanyabiashara wanafanya watakalo.
Kuna mgomo baridi umeanza kwa wauza mafuta ya petroli, dizeli na taa kwenye vituo kadhaa jijini Dar es Salaam.
Mgomo huo umeanza kufuatia EWURA kutangaza jana bei mpya elekezi (cap price) ambapo jijini Dar kwa mfano bei ya petroli inatakiawa kuuzwa sh 1955 kwa lita.
Miongoni mwa vituo ambavyo vimeanza huo mgomo ni PUMA Mwanamboka, Kinondoni, PUMA Sea view road karibu na Bank M, n.k.

Swali:
Kwanini makampuni hayo inapotokea bei ya mafuta kupanda kwenye soko la dunia na hupandisha bei muda huo huo lakini inapotokea bei imeshuka hawataki kushusha bei?
Je, serikali haina mamlaka ya kudhibiti hali hii?
 
hata iyo bei bado ni kubwa sana kama kwenye soko la dunia bei imeshuka almost 40% kwa nn isiwe reflected huku pia?
 
Duh afadhali utawala wa mapepo na majini unafikia mwisho labda nchi yetu itasonga mbele tunakotaka ifike...
 
mkuu tangu bei ishushwe yalokuwa first in ndio yalokuwa first out yalishaisha hawa jamaa wana mizigo mipya walonunua kwa bei iloshushwa sema wana take chance kutaka faida kubwa wabadilike
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni!
 
hata iyo bei bado ni kubwa sana kama kwenye soko la dunia bei imeshuka almost 40% kwa nn isiwe reflected huku pia?
Serikali corrupt inaendeshwa na wafanyibiashara wakubwa.

Ndiyo hii hali tunayoiona kwenye sekta ya mafuta nchini, ambapo wafanyibiashara wakubwa wa mafuta, ndiyo wanaojipangia bei ya kutuuzia mafuta yao!
 
Nchi ya kise ngenge sana hii.. Matajiri wanajiamulia watakavyo bila uhalali wote wa kisheria na wenye mamlaka wamebaki kurembua mambo kama bwabwa lililopigwa kidole masaburini. Kuu ma mae walai bora kupigwa ban kuliko kuendelea kusoma huu upuuzi.

Cc mpiga ban

Sa kama ndo wanawadhamini ccm kwenye kampeni unategemea nn?
 
Jibu:

Toka mwaka 2012 EWURA walipoanza kuweka bei elekezi hakuna anaeweza kupandisha bei kabla ya Jumanne ya mwanzo ya kila mwezi mpya, tena kutokana na bei za CAP ya EWURA tu. Kumbuka hilo.

Kama ni kweli na kama ndo makubaliano kwann sasa EWURA kwa kukusudia wamekubali hilo?nahisi kauli yako ina walakini
 
Leo Bei ya mafuta duniani imefika dolari 48.7 kwa pipa, wakati bei ilipokuwa dolari 110 kwa pipa tuliuziwa Tsh. 2200 kwa litter sasa imeahuka kwa zaidi ya nusu huoni kuwa ilipaswa kuuzwa angalau kwa Tsh 1100?

Nafikiri kuna gharama zingine ni za ndani kabla hayajafika kwa mtumiaji wa mwisho kwahiyo labda kushuka kwa 50% kabisa sio rahisi lakini kushuka kwa 50% ya 50% ya punguzo duniani ambayo ni kama 25% inawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom