Recent content by Bushman2

  1. Bushman2

    Kwa Watumishi wa Umma: Kuna uhakiki mwingine umeanza tarehe 31Julai na mwisho 5 Agosti. Fanya hima

    Inahusu taasisi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bushman2

    Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

    Haya honey! Napenda wanawake wasikivu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Bushman2

    Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

    Ni vizuri kuwapa haki yao wazazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Bushman2

    Spika Ndugai ajiridhisha wabunge 8 wa CUF kufukuzwa uanachama. Asema wamekosa sifa za kuwa wabunge

    Ngoja niishie masters sihitaji kuwa professor tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bushman2

    Vyama vya wafanyakazi mko wapi?

    Ni vyama mfu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bushman2

    Mishahara mipya 2017: Ni nani 'tumchune ngozi'?

    Hapo kweli twafwaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Bushman2

    Niagize mimi gari lako, nitakuletea kwa bei nafuu kabisa

    Toyota voltz nitapata kwa bei gani? Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  8. Bushman2

    TANZIA: Kifo cha mwanaJamiiForums mwenzetu Ibra87, mtunzi wa riwaya inayopendwa "Nitakupata tu"

    R.I.P Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  9. Bushman2

    Mjue mwandishi nguli wa vitabu nchini Tanzania, Phinehas Geranija

    Jamani kuna vipaji Tanzania, ingieni Amazon kuna Mtanzania kaandika kitabu. Tittle "A treasure under the palace" . Ni narrative literature, kimechapwa na just fiction edition Germany. Nimejaribu kusoma synopsis yake kiko vizuri. Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  10. Bushman2

    Baada ya ripoti ya Makinika kutikisa, Executive Chairman wa Barrick atua Tanzania kutuliza mambo

    Naamini sasa wengi wenu mumeshaelewa nia njema na ya dhati ya Raisi wetu mpendwa Dr. John.P. Magufuli. Tuache ushabiki wa vyama, Mimi binafsi sina kadi ya chama chochote. Raisi tuliyenae ndiye anafaa kwa hapa tulipofika go ahead my president, Mwenyezi Mungu akulinde akupe afya njema.
  11. Bushman2

    Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji

    Joka la makengeza hilo linaona pande zote hasa kwenye noti.
Back
Top Bottom