Mishahara mipya 2017: Ni nani 'tumchune ngozi'?

Mishahara mipya 2017: Ni nani 'tumchune ngozi'?

Kwani mwaka wa fedha 2017/2018 umeshaisha??

Mhe rais aliahidi kwamba kutakuwa na annual increment mwaka huu wa fedha, hakusema kuwa ni mwezi July .

Kwa hiyo tusubiri uhakiki uishe atafanya tu hiyo increment.
Wewe ni mzigo kweli na ukichaa umekutamalaki. Yaani mpaka leo unaamini kuwa sababu ya watumishi kutopatiwa haki
zao muhimu kama uhamisho,kupanda madaraja, kuongezewa mshahara n.k ni kwasabu ya zoezi la uhakiki!!!!
Kama u mtumishi wa umma basi Tanzania tuna safari ndefu.
Mpaka leo hujui ni kwanini neno uhakiki haliishi midomoni mwa mawaziri.
 
Mkuu hata Mimi nilimuamini pia, hasa aliposema kuwa hakutakuwa na nyongeza ya mshahara isipokuwa atatoa increments za kisheria pamoja na promotion kwa watakaostahili, sasa nashangaa hakuna cha promotion wala nini,sasa hapa ukimwita huyu kiongozi kuwa ni mwongo utakuwa unaleta uchochezi kweli?, halafu Eric anataka tumwombee, kwa lipi huku mateso yakitamalaki kila siku,watendaji unakandamiza Haki zao halafu unataka wachape kazi, hii si sawa kabisa, haikubaliki kabisa
Lakini wanaoteseka ni watumishi wa umma ukiondoa watumishi wa vyombo vyote Vya ulinzi na usalama. Sasa hivi hawa nchi wamekabidhiwa, Utumishi feki kwao hawahusiki, kughushi vyeti hawahusiki, mikataba mibovu hawaguswi eg. Lugumi na wameruhusiwa kuchukua za kununua Rangi za boots zao kutoka kwa hata Makundi mengine. Balaaaaaaa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la mishahara li dhahiri LIMESHAMSHINDA MTU

May Allah bless Me and You
Kwahyo kilio chetu tupeleke wapi mkuu?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Mishahara imeshamshinda.Let us believe HAKUNA PESA.
Sarakas zimekuwa nyingi sana,na hakuma taarifa za kukosekana kwa annual inkriment

May Allah bless Me and You
Mabilion ya kodi ya majengo yameenda wap?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Jiongeze kwa kujiajili acha kutegemea mshahara
Sawa. Lakn kwa sasa nategemea mshahara na nyongeza ni haki yangu. Sijapewa. Nimlilie nan?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Si kama kilio cha watumishi waliositishiwa mishahara yao ya July kwa kigezo cha darasa LA saba walioajiriwa kuanzia 2004 hadi kuminasaba.wakati mwenyewe alisema wale mliopo kazini wa darasa LA saba sitawagusa Leo Hii imekua sivyo.Yani we acha tu Mungu anaona lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kawala vichwa?? [emoji15]

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Watu wanalialia tu...wanalilia mishahara; wanamlilia nani? Eti...ni nani tumchune ngozi??

Vyama vya wafanyakazi sio vya serikali....havikuanzishwa na serikali. Vimeanzishwa kwa sheria zake vyenyewe...vikasajiliwa. Legal framework ya Trade unions Tz haiilazmishi serikali kujadiliana navyo wala haiwajibiki kujib hoja yyote inayolalamikiwa.

Geresha za meimosi ndo zinawaumiza vichwa? Mwafa!! Hamna pa kwenda...mwajiri keshalipa...ambae hajaridhika aende Mahakamani.

Weekend leo wap wakuu??
Mchuneni ngozi aliyevuruga uchumi. Pesa ingekuwepo si mngelipwa na nyie msitupigie kelele hapa, mkiona mshahara mdogo nendeni huko kwenye pesa nyingi kwani biashara hamzioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mei Mosi walijazana sana kule na mabango yao si tulikuwa tunawachora tu wakipewa ahadi feki, leo waache walielie ili akili iwakae vizuri
 
Kwani mwaka wa fedha 2017/2018 umeshaisha??

Mhe rais aliahidi kwamba kutakuwa na annual increment mwaka huu wa fedha, hakusema kuwa ni mwezi July .

Kwa hiyo tusubiri uhakiki uishe atafanya tu hiyo increment.
Maagents robots nyie mnanikera.Shenzi kabisa
 
Kwani hizo nyeongeza za Salary wanazodai kua mbona hazijaongezwa..Je,zipo Kisheria kwamba kila mwaka waingezewe na Muajiri wao?..na kiuhalisia vp khs khs hilo la vyama vya Wafanyakazi TUCTA kazi yao ni ipi?..ili kuondoa hii sintofahamu kwn sasa kila kona SALARY!! SALARY!! inakera bwana Kwa siye ambao hatuna ajirA rasmi.
 
Jamani kuongoza nchi si kutoa matamko tu. Muache kuwa mnashangalia kila kinachotamkwa. Haya Mlioshangilia Mei Mosi shangilieni tena Leo!
 
Ongereni mliojiajili,,,,kuajiriwa Bongo hasa kipindi hiki cha magu ni utumwa!Alafu anasema msema kweli ni mpenzi wa Mungu,,,,na wachungaji mnamuombea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wanaoteseka ni watumishi wa umma ukiondoa watumishi wa vyombo vyote Vya ulinzi na usalama. Sasa hivi hawa nchi wamekabidhiwa, Utumishi feki kwao hawahusiki, kughushi vyeti hawahusiki, mikataba mibovu hawaguswi eg. Lugumi na wameruhusiwa kuchukua za kununua Rangi za boots zao kutoka kwa hata Makundi mengine. Balaaaaaaa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wewe acha tu,yaani morali ipo down sana ya kutimiza majukumu yangu
 
Back
Top Bottom