Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji

Raisi litazame hili kwa jicho LA tofauti...kwa nini kila scandal kubwa inayoonekana kuliingiza taifa hasara huyu MTU anahusika???Raisi mchunguze Andrew chenge amekwisha litumikia taifa vya kutosha basi akapumzike
 
Hawa watu waliosoma Harvard na vyuo vinavyofanana na hivyo kuna kozi ya wizi walisoma huko. Haiingii akilini tukawa na wasomi waliobobea na tukaibiwa kwa miaka yote hiyo
 
Huyu Mzee apewe medai, au tumpeni Ballon d or!!! Maana kila sehemu yenye upigaji mkubwa mzee yupo, kinacho shangaza bado yupo kwenye uongozi serekalini.


Tulipowaambia huyu ni hatari kuliko sumu ya nyoka walitwambia ni mtu safi wakasimamam majukwaani kumnadi

Waandishi komaeni naye mpaka kieleweke
 
Natamani chenge awe Mjomba wangu wa hiyari, kila sehemu yupo, kweli huyu ni nyoka mwenye makengeza
 
Huyu mzee haitakaa itokeee hapa duniani! Yaaan kila skendo ya ufisadi yupo! Hivi huyu mtu atakuwa tajiri kiasi gani? Si anaweza hata kuua akachiwa huyu? Kila dili yupo, hakosi!
 
si mzee wa gamboshi tu BALI wa kibajaji. anafanya mambo ya ovyo mno. bajaji igonge landcruiser na kuiharibu kabisa. bajaji isiharibike dereva asife ila rafiki zake ambao ni abiria!!! Damu za akina Hilda zinakulilia. na huna ujanja wewe na unaokula nao
 
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
Acha lawama.kwa wakat ule unadhan Maguful peke yake angeweza???
 
Back
Top Bottom