Recent content by Bush Viper

  1. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sijui, kumbe ugali mkavu na soda mtamu hivi.

    Duuh watu mnaendelea kujiua taratibu
  2. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Kwa ufupi Mungu akuumba wewe static, mtu ambaye hana chaguo, Mungu alikuumba akakupa akili ya kujua jema na baya, na kupitia hiyo umutukuze kwa hiari yako au uende kwa shetani, kwa kupitia majaribu. Ndio maana shetani yupo, na hajashindwa kumuangamiza, uhuru wa kuchagua uleta maana ya kweli.
  3. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Maziwa Mmoja anaweza kukupa TZS 600,000 - 900,000 Kwa Mwezi, ila hizi Ndizo Changamoto Unazopaswa Kuzijua!

    Nimependa sana andiko lako🙏🏿🙏🏿, litasaidia sana wafugaji
  4. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa huduma za kifedha apotea katika mazingira ya kutatanisha Arusha. Mke wake asimulia kilichotokea

    Huyu mama mbona anaongea kama hana ofu yoyote, anaongea kwa vituo, anyway ni mawazo yangu.
  5. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche wanatakiwa kuelimishwa protocal za mavazi. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka lakini kaivaa Heche badala ya Lissu

    Nawachukia wazungu, ona bado kuna watu wanaabudu western culture katika mavazi.
  6. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Tunaungana kwa pamoja kwa mafanikio ya usaili wa walimu

    Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani. Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu...
  7. Bush Viper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Pole na hongera
  8. Bush Viper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, huwa mnapewa nini hadi mnahonga pesa ambazo zipo juu ya uwezo wenu?

    Rafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari. Nikabaki nimeshtuka...
  9. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Nakupa za kukubless Jumanne ya leo zitafute

    BLESSED
  10. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitangaza nafasi 726, walioitwa 45 (Medical officer II)

    KABLA YA KUITA SERIKALI MATAPELI ULIZA UTARATIBU KWANZA, UTUMISHI SIYO KAMA TAMISEMI, HUKU HUWA WANATOA PDF TOFAUTI TOFAUTI HADI ZIFIKE HIZO NAFASI AU HADI ZAIDI.
  11. Bush Viper

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    Unataka watu waanze kuhonga hili wabaki makazini, na hizo gharama za usahili kila mwaka si bora zipelekwe mahospitalini au mashuleni, wazo zuri ila kieconomical haliko sawa
Back
Top Bottom