Hujaumwa mkuu....ukishikwa na mshipa utagoogle na ujitibu?ukipata "acute appendicitis" (kidole tumbo) utagoogle na kujitibu? hela kidgo sana hiyo kwa consultation fee...wtanzania bna,unaenda hospital upo "unwell"
baada ya vipimo Unaambiwa upo vizuri unataka upewe ugonjwa hata kama...
ha ha ha ...napita tu!!msimlaumu wakili jamn....hata ningkuwa mm ningemshauri ivyoivyo....ntafanyaje biashara sasa kma c kuirefusha kesi wakati anajua kosa liko wapi..ngoja tuone mwsho wa sinema hii
mmh...hongera kaka!!ila undhani wao wanapenda kuona wagonjwa wanakufa mbele yao!!tafuta sababu den ndo uongee!!kma hamna mgonjwa anahitaji hewa ya oksijen unataka akanunue na hela yake!?hamna dawa husika kwa ajili ya shida ya mgonjwa huyo mfano "resuscitation drugs",unadhn daktar...
mtoa hoja anaweza kuwa na hoja ila umekosea jinsi ya kuileta.... udaktari ni msingi ambao unawekwa na nia kwa anayesomea na hii ni duniani kote...unaanza kuchujwa tangu ukiwa "ordinary level" kwa mfumo wetu wa elimu wa kitanzania...kwa hiyo kma ulikua hapendi na hujasoma sayansi tangu "o level"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.