Recent content by Burungutu sandawesu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Course zipi zinamfaa mtu mwenye gpa ya lower second kwa bachelor ya elimu katika sanaa, na yenye fursa kwake ?

    Bwana hamza kwema ndugu yangu, bahati nzuri tunafahamiana vizuri tumesoma chuo kimoja tumemaliza 2015, mkuu hiyo gpa haina shida swala ni moja masters ya ualimu haikuongezei mshahara wala haikupi guarantee ya kupanda cheo, kama unataka kuhama kada fata maelekezo ya ngariba one, ila kwa sisi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar to Korogwe

    Shukran ndugu zangu nimefika salama,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar to Korogwe

    HEhehe sasa kuna sheria ya kuuliza kipi na kipi nisiulize, kama sifahamu kitu nauliza huku kuna watu wana weledi tu wakujibu, ungepita tu kama uzi unakukera
  4. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar to Korogwe

  5. B

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Dar to Korogwe

    Habari wakuu, Nina dharura nahitajika Korogwe, upi ni usafiri mzuri Dar to Korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi? Asanteni
  6. B

    JamiiForums Tanzania CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

    Caf hao hao wanasema yanga haijawahi cheza makundi champions league tangu 1998, ila wenye timu yao wanasema walishacheza robo fainali ya champions league
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi siitwi hata kwa interview

    If you dont mind share your cv inbox
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

    Safi sana asante kwa kutujuza
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi siitwi hata kwa interview

    Sema ukweli kwanza, maana ukweli utakukomboa, its seems hujakaa miezi minne mtaana huna kazi labda miaka minne etc, weka wazi proffessional yako unaweza pewa mawazo ya ziada kutanua wigo wa kuajiriwa, na cv yako ipo sawa maana kifumo inabadilika weka templets za kisasa siku hizi tunaangalia sana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Simba msijifiche kwenye kichaka cha kumfunga Whydad kwa Mkapa

    Nyoko nyie si ndio mlioshangilia simba kupangiww wydad mkadhani na nyie mpo champions league hawa ni mabingwa watetezi wa kombe kubwa kuliko yote africa na tumewakanda nyie kenge kinawauma nini
  11. B

    JamiiForums Tanzania NBC League Kuu ya Tanzania

    Singida anaitaka top four, na mnaenda liti hamtoboi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam nielewesheni hapa kama huyu Binti yupo sawa

    Unafunga kwa ajili ya Mungu hao watao kuona hawawezi kukupa baraka utazozipata kwa Mungu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yanga tengenezeni timu yenye wafungaji wengi na siyo kumtegemea Mayele peke yake

    Fyoko fyoko, mmekalia viwili leo unatafuta pa kupunguzia maumivu, kama inauma chomoa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Yanga akipoteza mchezo wa leo naomba nipigwe Ban kwa miezi 6

    Piga bani huyu mbogo maji
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

    Hii miezi sita watu wata foji taarifa watafukuzana na kuuana kuficha ulaji wao, na bado mtawachagua tena
Back
Top Bottom