Naomba kazi siitwi hata kwa interview

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari.

Naomba Sana kazi sipati.

Kiukweli mwaka Jana nilipata fursa ya kupata kazi sehemu mbili Ila zote sikuweza kwenda maana kuna kazi ya shirika nilikuwa nalipwa malipo kama 2M bado marupurupu.

Ila Haikuisha hivyo mkataba ukaisha na zile kazi mbili nilikuwa nimekosa hiki kitu kinaniuma mpaka Leo.

Mwaka huu mwanzoni nimekuwa nikiomba kazi kwa kazi, nilifanya interview Nne na nikaishia kupata kazi ya kujitolea na mshahara kadogo na kazi ya kitumwa japo proffesional yangu.

Nimeendelea kuomba kazi Ila sijaitwa tena kwa interview licha ya kuomba sehemu nyingi.

Na Hapa nilipo hakuna Future.

Msaada wakuu shida iko wapi?
 
Hahaha yaani miezi 4 tu unaanza kulalamika ? Hizo 2m hukuwa unawekeza? Kama ulifanya kufuru hayo ndo malipo!

Watu wana miaka kadhaa wanaomba na hawajaitwa wewe unasema eti tangu mwezi wa kwanza. Aisee! Au siyo nchi hii??

Uwe na aibu mkuu.
 
Sema ukweli kwanza, maana ukweli utakukomboa, its seems hujakaa miezi minne mtaana huna kazi labda miaka minne etc, weka wazi proffessional yako unaweza pewa mawazo ya ziada kutanua wigo wa kuajiriwa, na cv yako ipo sawa maana kifumo inabadilika weka templets za kisasa siku hizi tunaangalia sana archievments na projects, tunaanza kuondoka kwenye kuangalia experience
 
Natamani.mtu mzuri wa kuniandikia Ila simpati
 
Hahaha yaani miezi 4 tu unaanza kulalamika ? Hizo 2m hukuwa unawekeza? Kama ulifanya kufuru hayo ndo malipo!

Watu wana miaka kadhaa wanaomba na hawajaitwa wewe unasema eti tangu mwezi wa kwanza. Aisee! Au siyo nchi hii??

Uwe na aibu mkuu.
Hapana ni miezi minne Mimi sijawakuexperience kukaa mtaani muda mrefu.

Nimesoma Afya
 
Sawa
Kuna demu ni mwalimu alianza kuomba since 2019 na hakuwai kuitwa hata sahili moja NGOs yoyote
Mpaka mwaka jana mwezi wa 3 ndio akaitwa kwenye NGOs moja kubwa saana ana mkataba wa miaka mitatu salary ya 3.4 milioni na malupulupu kadhaa
Sasa yupo anasimamisha nyumba za kupangisha kwa fujo kasulu

Anasema hataki TENA umasikini anajijengea misingi imara but she is single mother
 
Sasahivi nilitaka kuuliza kuhusu hizi NGO na wewe ndio umeposti

Naomba kuuliza hizi taarifa za kazi za NGO naweza kuzipatia wapi Mkuu na naweza kuzifahamu vipi na zinapofanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom