


mkuu wewe umesema Yanga hamna timu mimi nikakwambia kama hamna timu hizo hatua zote ingefikaje naona unaanza kunitajia makolokolo mengine.
Eti makosa ya kibinadamu lol. Kwa hiyo ni Yanga peke yake imenufaika na hayo makosa hakukuwa na timu nyingine? Okay kwakua umesema makosa ya kibinadamu hakuna shida.
Kama ungekua unauelewa mpira vizuri usinge dharau hilo gape la point 5 kwako ni mlima na Yanga pia lazima apambane kuhakikisha haachi alama hiyo haijalishi Yanga au Simba wamebakisha kucheza na timu gani.