Recent content by Bursting

  1. Bursting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchongo Gani Umewahi Kuupoteza Kisa Umeendekeza Mapenzi?

    Mimi nilipiga chini offer ya kwenda kuishi ulaya kwa miaka kumi,sababu kubwa nilitamani ku hustler na kumiliki uchumi wangu binafsi nikiwa hapa hapa bongo.offer ilitoka kwa aliyekuwa girlfriend wangu kutoka pande za huko ng’ambo.
  2. Bursting

    JamiiForums Tanzania Ukiniambia kwanini napinga ripoti ya Tume ya CORONA, majibu yangu ni mepesi kabisa

    Yani mimi nilishasema hii chanjo hata kwa bunduki hawanichanji..
  3. Bursting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

    Angalia pia muda ambao hizo ndoa zinadumu
  4. Bursting

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Naomba hilo zoezi likimalizika Dar lihamie na mwanza pia..
  5. Bursting

    JamiiForums Tanzania Woga mkubwa wa Wabunge ni uchaguzi huru

    Well said Mkuu..hiyo ndiyo hali halisi
  6. Bursting

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Hizi ndo akili za kiafrika siku zote wao ni kuwaza tu kwamba wazungu wanawaua!! This is a mental slave, uzembe afanye mwingine na yakimpata eti utasikia Mzungu kahusika! Ni ujinga sana watu kufikiria huo upuuzi.
  7. Bursting

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Wewe naye ni mshirika wa hayo mambo ya giza ndo maana unapanua sana domo kupinga..very soon na wewe utakuja humu JF kutushuhudia namna ambavyo hayo mambo ya giza hayafai ni suala la muda tu utakutana na nguvu za Mungu aliye HAI..
  8. Bursting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Hii ni kweli kabisa Konda msafi..wabongo wanapenda umbeya wa mitandaoni kuliko kusoma vitabu.
  9. Bursting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Ni mtandao gani huu mkuu?
  10. Bursting

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa teja sasa ni mchungaji

    Pole na hongera kwa kuitikia mwito wa kuwa pastor, ila kwa ushauri ungeendeleza kisa chako kwa urefu kidogo hapa JF kabla ya kuhamishia wasomaji wako kwenye kitabu.nafikiri ingekusaidia kuvuta attention ya watu kabla ya kuwa direct kwenye kitabu chako. Ila yote na yote..ubarikiwe sana na Bwana...
  11. Bursting

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya COVID-19 Angola imetuumbua, Balozi awajibike?

    Kea hiyo unataka kuhalalisha wengine waambukizwe micorona yenu kisa kuna wachezaji walishakutwa nayo!? Akili za kijinga hizi
  12. Bursting

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Mkuu kwa sababu kwa hiari yako umeamua ku share hii story yako na sisi..fumbia macho wakosoaji ambao hawana maana yoyote zaidi ya wivu tu wanaona kwa hayo uliyoyapitia. Wanatamani wangekuwa wao
  13. Bursting

    JamiiForums Tanzania BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

    Acha wivu..na wewe si ukatunge wimbo wako unao ona unafaa katika jamii.
  14. Bursting

    JamiiForums Tanzania Diamond: Nipo tayari kubadili jina

    Akijiroga kubadilisha jina tu...basi na huo ndio utakuwa mwisho wa umaarufu wake kimziki. Jina linabeba uhalisia wa maisha yetu katika ulimwengu wa roho
  15. Bursting

    JamiiForums Tanzania WHO kutoa ‘Kadi ya Chanjo ya Corona’ itakayokuruhusu kuingia nchi nyingine

    Hakuna biashara ya kuchanja hapa..tutatengeneza vyeti feki na tutasafiri kama kawa.
Back
Top Bottom