Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Wakati ukuta
wengine hamna ustaarabu wewe ndio utumbo.Ndio utumbo gani huu umetuletea hapa
Asante kwa ushauri mzuri ukweli nimeishi maisha hayo najua ubaya wake.Sasa ndugu Mchungaji usisahau ukifanikiwa kutoa charity najua mateja wengi watakaotaka kupata motivation hizo buku saba watazitumia kwa jambo lingine..., hence kwa kusaidia jamii, ukishapata za kutosha tengeneza pdf (haina gharama) wape wadau vijiweni bure (ingawa watakupiga mawe) ila ndio utumishi wenyewe huo
Addiction ni mbaya sana bora wawe addicted kwenye Imani (no matter hata kama imani hio ni ya ukweli au hapana, so long as haidhuru wengine)
Unafikiri!!!? Umenza uzushiNafikiri nimeongea kwenye hiki kitabu jinsi nilivyoshinda
Ww utakuwa kondoo si bureKuna
wengine hamna ustaarabu wewe ndio utumbo.
We sema unauza vitabu achana na mbwembwe za uchungaji,Mara nyingi ninapo kaa chini, na kutafakari safari nzima ya maisha yangu,
kule Mungu alikonitoa, mpaka hapa aliponifikisha, naishiwa maneno ya kumshukuru.
Ndio maana hata sasa ninasema ya kwamba Yeye ni Eben-Ezer, nikimaanisha ya kuwa Mungu ndiye amenisaidia, kufika hatua hii niliyofikia.
Maneno ya kitabu cha Zaburi 119:17 yanayosema; "Ilikuwa vema kwangu kuwa naliteswa, ili nipate kujifunza amri za Mungu” yanaelezea sana ushuhuda mzima wa maisha yangu.
Magumu, shida na mahangaiko yote niliyopitia vimetumika kama daraja la kunivuta karibu sana na Mungu.
Zaidi ya mimi binafsi kuokolewa, ninaamini ushuhuda wa maisha yangu unaniweka kwenye nafasi ya kuwa msaada kwa wengi walio katika changamoto kama nilizopitia mimi.
Karibu ujipatie nakala ya kitabu changu kinachokwenda kwa Jina la #NILIKUWA_TEJA_SASA_NI_MCHUNGAJI
Kitabu hiki kinapatikana kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 7,000/= za kitanzania.
Unaweza kununua nakala yako kwa
Tigo Pesa
0659-409447
M-PESA 0767 879406
Airtel Money 0789 795435
Hakikisha unanitumia na majina yako kamili.
Kwa huduma ya(delivery) utachingia nauli kidogo.
Barikiwa
@pastorwinner80
Ukonga
February 12,2021View attachment 1701077View attachment 1701078
Asante kwa ushauriPole na hongera kwa kuitikia mwito wa kuwa pastor, ila kwa ushauri ungeendeleza kisa chako kwa urefu kidogo hapa JF kabla ya kuhamishia wasomaji wako kwenye kitabu.nafikiri ingekusaidia kuvuta attention ya watu kabla ya kuwa direct kwenye kitabu chako.
Ila yote na yote..ubarikiwe sana na Bwana kwa kukubali wito wa kumtumikia.

Mchungaji ni vyema utoe ushuhuda wako hapa watu wasome wenyewe kule Mungu amekutoa.Mara nyingi ninapo kaa chini, na kutafakari safari nzima ya maisha yangu,