Recent content by BUNGULWA

  1. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anakuwa na ujasiri kiasi gani kutoa uongo kama huu.

    Bado wanapanga majina vizuri
  2. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Laptop used inahitajika

    Mwenye kifaa tajwa hapo ani pm
  3. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Airtel wapandisha vifurushi vya OMG

    Mkuu nipe maujanja khsu zantel
  4. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    RAIS MZURI NI YULE ANAYETOA MAJIBU YA MATATIZO YA WATANZANIA :yo:
  5. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Waziri akataa picha ya pamoja na waalimu

    Kwa hiyo angepiga nao picha matokeo ya mwaka ujao yangependeza? Mi nafikri njia nzuri angeongea na kwa lengo la kujua chanzo cha kufeli hivyo watoto wale. Pengine baadhi ya sababu ni coordination ya shule haiko vizuri( walimu hawaunganishwi kiutendaji), watoto kupenda starehe badala ya kubukua...
  6. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Tarehe 14/10/2014 tunamkumbuka Nyerere kwa lipi?

    Rest in peace
  7. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

    Kwenye jf, hatuna punguani it is a matter of typing
  8. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

    Tupingeni hili kwa nguvu zote. Kwa nn watushikie bango sie wenyenewe tu? Kazi ya kutoa huduma za jamii ni jukumu la serikali maana ndo inayokusanya kodi. Kwa maana hiyo, income tax tunayokatwa kwenye malipo ni ya kazi gani sasa. Ushauri, warudishe kodi ya kichwa kwa kila mwananchi na sisi...
  9. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Tujadili hili janga kuokoa Walimu Nchini

    KWA MTAZAMO WAKO MKUU, WALIMU WOTE WANAIBA KURA? NI vizuri utoe hoja yenye mashiko na ushahidi ulioshiba
  10. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Kuhusu University of Iringa

    Mbona majina yapo
  11. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Ila kulikuwa na uafadhari kidogo maana majina yalikuwa yanatoka kwa mkupuo siyo kama leo chuo fulani kingine .....?
  12. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    TUPIEN PICHA BASI:angry:
  13. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania NAPE: Umasikini nchini unasababishwa na watumishi wa umma

    KWANI HAO WATUMISHI WANATEKELEZA ILANI YA NANI? NA JE, HAKUNA CHAMA KINACHOSIMAMIA UTEKELEZAJI WA ILANI YAKE MPAKA HAO WATU WAITWE WASABABISHA UMASIKINI? Mi najua unapokuwa unaalima kwa kutumia ng'ombe yaani maksai ambao ndo kama watumishi, kunakuwepo na watu wanaosimamia hao makisai ili ulimaji...
  14. BUNGULWA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliye na kanuni za kudumu za utumishi wa umma 2009,2003

    Wana Bodi naomba msaada kwa aliye na soft copy ya kanuni tajwa. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom