Wa Bagamoyo
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 118
- 12
iko safi Sana yakheeHao Zantel kasi yao ikoje, maana niliachana nao mwaka juzi baada ya kutoweza kabisa kutumia internet
iko safi Sana yakheeHao Zantel kasi yao ikoje, maana niliachana nao mwaka juzi baada ya kutoweza kabisa kutumia internet
Airtel kwenye simu siwezi kutumia, kwasabu ya overheating effect.
Nime experience toka nipo Symbian mpaka leo hii Android.
Aitrel wamekatisha intranet ya bure ya uciku dash,!"!
Siku hizi wameweka internet ya bure et kuanzia saa 12 asb hadi saa 2 asb,na tigo nao hivyohivyo.
Kwa ninavojua na nipo kwenye telecommunication industry izi bundle ni offer inayotolewa kwa wateja so TCRA wanaregulate bei nje ya ivyo vifurushi kama kb mija ni 0.2 au sec ni 4.1 hapo kampuni ikipandisha izo bei ndio kuna tatizo!
Hivi makampuni ya simu huwa hakuna taasisi inayohusika kudhibiti bei za Huduma zao?..Ingekuwa daladala ikaongezwa hata sh 50 kwenye bei ya zamani sidhani kama lingekubalika kirahisi. Hawa watu wanajinufaisha wanavyotaka bila kujali consumer anaumia kiasi gani. Anyway tutanunua tu but kupandisha bei ya kitu kwa 50% sio fair.
mkuu pole sana, kinachoendelea no siasa maccm eanajiandaa na uvhaguzi mkuu na wanajua social media ilivyo na impact, sasa wanabana ili watu wssitumie kuleta ukombozi na kuhabarisha, ila wasilo lijua in kuwa wanatengeneza chuki dhidi ya ccm na hakika kitakacho wapata watashaa,
hili kinaenda pamoja ile sheria ys cyber.