Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,470
kwa hvo anafkiri kwa kususa kupiga nao picha ndo watafundisha sana ili mwaka ujao apige nao picha. kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi. walimu twendeni tu, pole pole watatuelewa
Hata mimi ningekuwa mh.waziri sipigi picha
waziri wangu umewaonea picha sio posho wala tiba ya malimbikizo ya madeni yao wanayodai serikali ungeangalia serikali yako ilipojikwaa
It's saddening kuwa Waziri anatumia vitisho vya kitoto akitegemea mabadiliko, anashindwa kwenda chini na kutatua tatizo anasiliba kwa juu na kususa kupiga picha, ama kweli Watanzania tuomba ili wingu jeusi liondoke
ndugu waalimu wengi cku
iz wa o level wana degree na take home ni 500,000+ huo ndio ukweli. kwa
idadi hiyo ya walimu, naunga mkono uamuzi wa waziri.
Hao walimu nao picha ya nini mtu mwenyewe Ghasia aaargh
hawana maana hata kidogo kinana kasema akiwa rais watakuwa wanapewa ajira za mkataba watoto wakifeli nawewe kibarua huna, sio lazima ufundishe kazi za kufanya ziko nyingi tu.