Recent content by Bungukwetu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mr Slim is pretty lucky for having Mr Mango outside the house

    So Mr.Mango will come purposely to fight Mr.Slim? I thought his main agenda will be to look after his country and making peace with neighbors. Why Mr.Slims house is becoming of a big matter to you?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mr Slim is pretty lucky for having Mr Mango outside the house

    So Mr.Mango will come purposely to fight Mr.Slim? I thought his main agenda will be to look after his country and making peace with neighbors. Why Mr.Slims house is becoming of a big matter to you?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tourmaline gemstone top quality

    Nahitaji Tourmaline gemstone top quality haraka iwezekanavyo. Kama unayo pita PM tuongee biashara
  4. B

    JamiiForums Tanzania Handeni wanakosa soko la mihogo yao

    Mbona nahitaji mihogo nanimekosa..tatizo madalali wanatupatia bei ya juu zaidi ya uhalisia..mfanyabiashara wa mihogo aje PM mimi nafanyia biashara Kigali.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vitunguu swaumu

    Fuso na zaidi mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vitunguu swaumu

    Habari zenu, tafadhali naomba anayeweza kunisaidia kujua bei na wapi naweza kupata tunguu swaumu anieleze. Nahitaji mzigo mkubwa. Asante
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

    Mapambano makali??? !!!! Mbavu zangu; Hivi source ya habari ni ipi..
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

    Hakuna kitu kama hicho!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua bei ya vitunguu saumu na wapi vinapatikana kwa wingi.

    Salam zenu,naombeni msaada. Nahitaji tunguu swaumu vikavu. Mwenye kujua sehemu yakuvipata na bei yake nitashukuru.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Rwanda wana maendeleo yapi kwa mfano? Unajua vitu vingine vinachekesha mno jamani

    Ulitembelea sehemu gani mkuu! 9days tayari ushapata picha kamili yanchi.. Its like nikae siku Dar harafu nitembelee Kibiti, nikitoka sinitakwambia Tanzania kuna vita?. Pambana na hari yako Rwanda hujafika peke yako.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Mihogo

    Uko wapi, Bei yako, una kiasi gani cha kuuza..Mihogo mikavu au mibichi. Soko lipo tena kubwa
  12. B

    JamiiForums Tanzania E-commerce project

    Toa details mkuu!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gunia 100 za vitunguu maji (vyekundu)

    Tafadhali mkulima,dalali au mfanyabiashara wa vitunguu pitia PM kama unaweza kupata kiasi tajwa.Nitachukua kutoka sehemu yoyote Tanzania.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maharage ya njano

    Hata mimi nahitaji kuanzia gunia 100-
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya cement kiwandani..

    Wadau naomba kujuzwa bei ya cement nikiinunua direct kutoka kiwandani. Au kama kuna mfanyabiashara wa cement naomba aje PM tuongee biashara nahitaji large quantity of cement kila week. Nashukuru kwa msaada wenu.
Back
Top Bottom