mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,875
- 136,781
Swali zuriMwanzo mihogo ilikuwa zaidi inalimwa Kwamsisi lakini sasa imelimwa sana huko. Kuna uhusiano gani wa kuwa na acc ya bank ya nmb na soko la mihogo? taarifa zaidi please!
Ova
Swali zuriMwanzo mihogo ilikuwa zaidi inalimwa Kwamsisi lakini sasa imelimwa sana huko. Kuna uhusiano gani wa kuwa na acc ya bank ya nmb na soko la mihogo? taarifa zaidi please!
Nilijaribu kumuuliza hakunipa Jibu lolote la maana alikuwa anasisitiza kuwezeshwa Mikopo tu.Mwanzo mihogo ilikuwa zaidi inalimwa Kwamsisi lakini sasa imelimwa sana huko. Kuna uhusiano gani wa kuwa na acc ya bank ya nmb na soko la mihogo? taarifa zaidi please!