Recent content by bungala

  1. B

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Mkuu mahusiano kati ya Taurus na Simba yakoje wanaendana au?
  2. B

    Watanzania tunajua kwamba bei ya kupata hati ya kusafiria ni Tsh 150,000

    Siku hizi hakuna usumbufu kabisa mm nilipata kwa siku kumi tu bila kutoa rushwa wala chochote
  3. B

    Mtu gani maarufu(Star) ushawahi fanyanae mapenzi ndotoni?

    Nishamkaza sana Keri hilson.....
  4. B

    Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Tunapoza rejeta inakua imepata moto
  5. B

    Ni kipi sahihi zaidi kati ya kumwambia mtu sikutaki au kumzungusha?

    Mm binafsi kumwambia mtu sikupendi siwezi bora nimzungushee weee akituma text leo najibu mtondo goo hadi ajiongezee ila kumwambia neno sikutaki siwezi kabisa maana hilo neno hata mm nikitamkiwa lazima nipate ganzi namkojo unitoke
  6. B

    Diamond Platnumz ndani ya Times FM: Ukinifungia nyimbo haunipunguzii kitu nitafanya show hata nje

    Hivi hayo maadili kipindi cha kampeni huwaga hayafanyi kazi maana huwa wanawaita na waimba hizo nyimbo zisizo na maadili
  7. B

    Kuna kitu kati ya Juliana Shonza Vs Diamond Plantanum

    Inawezekana kuna baraka toka kwa mlezi
  8. B

    Ole wao wanaotazama sex (chonda)

    Ulitaka ufikishe ujumbe mzuri sana ila tatizo ni kua eitha huna ilmu ya kutosha juu ya hilo au labda wakati unaandika ulikua unakimbizwa maana hakuna dalili hapo na wala maandiko yako haya eleweki Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    Nyumba ya Sheikh Khalifa yavamiwa, wavamizi wafanya jaribio la kuchoma nyumba

    Hivi hawa mashekh hizi fatwa zao huwaga wanatoa kupitia kwenye aya gani ya Quran au hadith za mtume mbona wanakuja kuzushazusha mambo yasio eleweka....ndugu zangu waislam tusome dini ili tuweze kufuata maamrisho yake kupitia Quran na hadith za mtume SWA.....sio kuendekeza bidaa tu. Sent using...
  10. B

    Makamu wa Rais amjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu Khalfan Kikwete hospitali ya Muhimbili

    Hivi akili zako ziko sawa kweli? Post sent using JamiiForums mobile app
  11. B

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Tatizo la Mbeya mji umekaa shagala bagala haueleweki mipango miji sijui wanafanya shughuli gani ukitoa miji ya zamani sokomatola,majengo ,uzunguni na jacaranda hizi sehemu nyingine ni takataka tu mipango miji kazi yao kula mahindi ya kuchoma hakuna wanachofanya Mbeya ni kijiji kikubwa
Back
Top Bottom