ndugu yangu unayo yasema huyajui, hata huko nje ya nchi uliko sijui ni wapi! mimi kwa sasa niko uholanzi, hawa jamaa ni kidachi kwa kwenda mbele, kingereza kinatumika mara chache saana katika sehem maalum zinazo husisha watu wa mataifa mengine, shule zote ni kidachi, wanashangaa kwa nini sisi...