Recent content by BUMIJA

  1. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Dating niliyoikubali ni kukutana dada mmoja wa Kimeru hapo Arusha. Tulikua tunawasiliana miezi 3 baada ya kukutana kwenye Bus la Esta Luxury. Niwashukuru mlionunua Mabasi ya Esta.Sina mengi kwa leo
  2. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amtuhumu Lema kuishi sea cliff kwa miezi miwili sasa

    Umbea gani??
  3. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Makabila ambayo bora uwe single

    Nilioa mpare mwenzangu hii ni kweli kabisa,japo sio wote
  4. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Wamepima kwa sensor tayari
  5. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Watu wawe busy nane nane iwe na amani
  6. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Sababu ipi ilikufanya kujiunga JamiiForums? Mimi ni kikao cha Mwitongo, nikiwa na Makongoro na Mkapa December 2014!

    Katika harakati za kutafuta majina ya waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu 2010 ndio nikaiona JF kwenye Google
  7. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Fanya unachopenda,haiwezekani wote tujiajiri au kuajiriwa,uchaws nayo ajira bongo
  8. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Mbona majambazi yamepotea?

    Siku hizi watu hawatembei na mahela kama zamani
  9. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

    Pombe nayo si madawa ya kulevya kama unga tu ?
  10. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Kuna nini hasa kati ya Dotto Magari na Cherry Hollister? Beef yao imeanzia wapi mpaka kufikia tuhuma nzito kiasi hiki?

    Ni hatari yanayoendelea huko kwenye magest wadau
  11. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe hadi sasa, sijawahi kushika wala kuona bidhaa au kifaa chochote toka ISRAEL

    Nilishikaga simu ya Htc smart phone ndogo speed yake ya internet ilikua nzuri
  12. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

    vyuo vikuu vyote kuna maafisa vipenyo.Chunga ulimi wako
Back
Top Bottom