Sio la sukari mambo mengi tu wanajaribu kumyumbisha lkn hili buldozer yupo makini sana tunamuamini awezi kugeuka nyuma ili awe jiwe ewe Allah mpe maisha marefu kiongozi wetu tunaamini tutafika tunapokwenda Inshallah.
Mm naona tuache malumbano tuingalie katiba ya chama inasema nini kama tukiisoma na kuilewa hakuna sababu ya kulumbana ila kama tunampango wa kuibadili katika Kwa ajili ya uwenyekiti hapo ndipo tutaleta shida katika chama nafikiri timeshaona madhara ya kubadili katiba,mfano tunaona madhara ya...
Jamani hizi tamaduni zingine tuziangalie na athari zake kwani Dunia ss ipo kiutandawazi kwani zamani watu wazima wakiwa watupu kulikua hakuna shida hawakujua kinachoendelea na hata walijua lkn walikua wanafanya kwa nidhamu ya hali ya juu sana enzi zile.
Nikweli kabisa unachosema lazima itangazie umma kama kuna mabadiliko, halafu wakati tunanunua tuliambiwa bei tofauti kutokana na matumizi vilikua vya ofa na visivyo vya ofa. Walisema kuwa vile havina ofa bei juu lkn ukinunua utakua ulipii zele chanel za ndani na vya ofa itabidi ulipie ikiisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.