Hili jambo ni pana sana kaka, wanawake wengi ukikutana nao mtandaoni ni wanafikiri unataka kuwatumia, so na wao wanakutumia pia. Nikimcheki mdada kwa mitandao namuacha ye ndio aamue tuwe wapenzi ama tufanye biashara , wengi wanaenda kwenye transactions. Wanasemaga mpenzi utampata mtaani kwako au...
Tujadili ulicholeta mezani bro, hayo ungefungulia uzi wake. Wewe kama baba utaacha familia yako sehemu ya hatari? Ikiwa unajua adui zako wana uwezo wa kuwafikia na kuwafanya lolote bila wao kuguswa.
Sasa mtu amefanyiwa jaribio la kuuawa hadharani unataka familia aiache nchini ya nini? Hata mimi ningepeleka familia mbali alafu km nataka kupambana narudi mwenyewe kupambana. Familia ni udhaifu mkubwa wa mwanaume ikiwa threatened au ikitumika kama leverage.
Mimi kuna jamaa nar alinichek Whatsapp ananipa correct score alafu ananionesha mikeka yake iliyoshinda ya Betapexro😃 bado kidogo niingie kingi,kule first deposit ni 150k, ah hii ilikuwa sign moja wapo kuwa hawapo legit
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.