Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,860
- 37,702
Majina ya uchagani na ufupisho wake!Manuu
Majina ya uchagani na ufupisho wake!Manuu
Hawa waliojazia viuno, inawezekana wameajiriwa na mchungaji ili kuvutia wateja (waumini). Ilianzia kwenye mabaa, naona na huku kwenye kuabudu wanataka walikamate soko.
UtapeliHawa waliojazia viuno, inawezekana wameajiriwa na mchungaji ili kuvutia wateja (waumini). Ilianzia kwenye mabaa, naona na huku kwenye kuabudu wanataka walikamate soko.
Kumshawishi mtu/muumini akupe hela yake (sadaka) si kazi rahisi.
Utapeli kila mahaliUtapeli
Kweli bado Nina safari pande hizoššKaa utulie ujifunze bwashee