Leo mbege imezidi bwasheeKuna fununu nimezisikia eti , kuna miamba , wanawapa mimba wadada ikifikia miezi mitano wanashawishi itolewe , mdada akiogopa anafanya maarifa ya kuwa patia kombikit bila kujijua š¤
Ikishatoka , kitu inazikwa halafu inafukuliwa na kuchimbwa mlangoni mwa biashara kwa masharti makali ya mganga kuvuta vibunda na kupiga pesa .
Wadada kaeni chonjo hizi stories nimesikia kwa mmalawi mmoja , ikifika bongo kwa wale wazee wa imani za hovyo mmekwisha.
Karibuni bia š»š»
Pepon Raha tupu mkuu.Mfugaji mwenzanguš
Wakinga, Wapemba, Waha na siku hizi Wachagga pia, dili hiloKuna fununu nimezisikia eti, kuna miamba, wanawapa mimba wadada ikifikia miezi mitano wanashawishi itolewe, mdada akiogopa anafanya maarifa ya kuwa patia kombikit bila kujijua š¤
Ikishatoka, kitu inazikwa halafu inafukuliwa na kuchimbwa mlangoni mwa biashara kwa masharti makali ya mganga kuvuta vibunda na kupiga pesa .
Wadada kaeni chonjo hizi stories nimesikia kwa mmalawi mmoja, ikifika bongo kwa wale wazee wa imani za hovyo mmekwisha.
Karibuni bia š»š»
Kama Kuna mito ya pombe na bikira kwann kusiwe Raha mstarehe?Sidhaniš
Karibu pepon kila siku ni weekend tuKweli bwashee š
Huku hakuna mashamba ya kulima Wala ajira everyday is weekend wahudumu wenyewe Wana bikiraš¹š¹Hahaha bwashee mbona kama unapondaš kimtindo
Nimefanya je aisee jina langu la utoto hilo
Duh.. najuaga miso ndio mwisho hakuna wa juuHahaha nimeongea kihuni ila ni mchanganyiko wa dawa za kutoa mimba ambayo ipo juu ya miso