Recent content by Bullionism

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Download "snaptube" kutoka kwa playstore, kila kitu kinapatikana hapo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Wewe mbona hapo bei imepanda!! Mwaka 2014 mimi nilikuwa Tsh 18,000 kila gunia moja
  3. B

    JamiiForums Tanzania Anaumwa after sex,nini tatizo.

    Huenda mhogo wako ni mrefu ko unakita hadi kwenye falopian tube[emoji13][emoji28][emoji28]
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kusogeza naye siku

    Nije PM?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amepata mkopo ila hatujakiona chuo alopangiwa

    Inawezekana aliconferm chuo kimojawapo. Bas kama ndo ivo aingie kwenye profile yake aangalie selection result
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada UDSM wameniselect kwenye profile lakini kwenye list ya majina sipo

    Jamani hivi tatizo hili bado hawajarekebisha tu?? Kwa profile yangu nilishaconferm tangu tareh 5 lkn hadi leo kimya
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada UDSM wameniselect kwenye profile lakini kwenye list ya majina sipo

    Kwa kuwa ndo umeconfirm leo, subir kwanza chuo kikuweke kwenye list. Kawaida usipoconfirm huchaguliwi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kiini Macho cha CCM kwa Watanzania chaonekana leo Mwanza baada ya kufanya mkutano wa hadhara

    UKAWA saizi ilishakwenda na maji
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimekamatwa hapa Manga-Mkata kwa kosa nina nakala ya driving licence

    Kwan sheria inakutaka ubebe reseni ya udereva au nakala tu?
  10. B

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Wabunge wanazungumza siasa tu badala ya maendeleo...siasa zimekuwepo tangu miaka ya 1960s bila mafanikio..sasa leo hii Rais anagundua makosa na ana nia thabiti ya kuyarekebisha bado mnampinga tu eti kwa sababu ni upinzani wanataka madini yaendelee kusafirishwa nje ya nchi...SPIKA WA BUNGE...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

    Yaan wewe ulietoa post hii inabidi kwanza ufikirie mara 2 mbili...we unadhani ktk kufanikisha juu ya hili TCRA wanakaa mbali? PCCB je? Sasa unafikiri watajuaje kama kuna hujuma inataka kufanyika na ni nani anataka aifanye hiyo hujuma.....kwa upande wa pili, wewe bado ni kilaza hujajua mchango wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    You are lost, totally
  13. B

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Siku hizi siasa zimetawala hadi ktk nyumba za ibada
  14. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuwa member wa Illuminat

    Mrudie Mungu wako, ufanye toba ya kweli ndipo hayo mawazo na mipango uliyonayo itatoweka
  15. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaongoza kwa kupenda mapenzi ndio maana nchi yetu haiendelei

    Yaan una mawazo yakinifu kama redio ya mbao....tuache mapenzi, tufanye kazi""
Back
Top Bottom