Recent content by Bullava

  1. Bullava

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Sasa hili si umtumie details zote DM
  2. Bullava

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    I really agree . Hawa watu wanatengeneza feminism of highest level kwa kujifanya wanawahurumia Watoto wa kike
  3. Bullava

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata Mhasibu raia wa Marekani Kiev-Ukraine

    Who cares?? Vita lazima iendelee labda aingie Trump pale Oval Office
  4. Bullava

    JamiiForums Tanzania Huenda kiongozi wa Wagner wa Urusi kashikiliwa mateka

    Hiyo ndio Russia sasa. Kila Taifa linatafakari kivyake
  5. Bullava

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikasa/vituko vya lodge

    Daah hii Kali
  6. Bullava

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Japan kuendelea kumsikiliza USA, China yaipiku kwenye Mauzo ya Magari

    Dunia inakimbia Sana
  7. Bullava

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amdhibiti Bashe, mradi wa Kilimo kwa Vijana ni kichaka cha upotevu wa pesa ya Umma

    Uko sahihi kabisa. Kwa style anayokwenda nayo Bashe upigaji utakuwa nje nje. Hiyo mikopo ingetolewa kwa wakulima ambao tayari ni experienced kwa kuwa wanajua challenge halisi.
  8. Bullava

    JamiiForums Tanzania Gerald Kusaya jiandae kung'olewa kwenye nafasi yako, umegusa mnyororo wa dawa za kulevya

    Terrible Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  9. Bullava

    JamiiForums Tanzania Makombora 81 yalirushwa na jeshi la Urusi na kuleta uharibifu mkubwa

    Kupata vichekesho kama hivyo tunabonyeza ngapi vile??
  10. Bullava

    JamiiForums Tanzania Hela ya Urusi iliyotaifishwa kutumika Ukraine, hivi Putin hadi aguswe wapi ndio afanye kweli

    Hivi kwahiyo unamaanisha hakuna chochote ambacho Magharibi waliwekeza Russia? Kwa mfano tu unajua Airbus kaingia hasara kiasi gani kutokana na hizo sanctions???
  11. Bullava

    JamiiForums Tanzania Marekani imelitungua puto la kichina

    Distance from Shanghai to Los Angeles ni miles 6400 almost 10400 km hivyo puto umbali wote huo USA hawakuliona mpaka limefika katikati ya nchi ndio wanahangaika nalo. Eti wanasuburi lifike kwenye eneo la Bahari???
  12. Bullava

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

    Naona wenye shule yenu mmeshafika
  13. Bullava

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

    Ndoa zina Mambo mengi sana. Ukioona watu wanazeeka pamoja ujue wamepitia changamoto nyingi
  14. Bullava

    JamiiForums Tanzania The Economics of Kamikaze Drone in Russia - Ukraine War

    Kwani hizo UK anti aircraft zina tofauti gani na C-RAM walizonazo? Shida za hizo gun ni short range not more than one mile
Back
Top Bottom