Kifo cha utata Mhasibu raia wa Marekani Kiev-Ukraine

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Mhasibu raia wa Marekani Martin Hart amekutwa amekufa katika mazingira ya utata mkubwa jiji Kiev nchini Ukraine.

Mwili wake ulikutwa usiku katika kingo za jengo linaloendelea kujengwa.

Polisi wa Kiev wamedhibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo wameeleza sababu ya kifo cha mhasibu huyo ambaye inasemekana alikuwa akifanya upelelezi wa rushwa katika usambazaji wa silaha za kijeshi nchini humo unaolikabili jeshi la Ukraine.

Kabla ya umauti, Hart alikuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na Taasisi ya kupambana na rushwa ijulikanayo kama Ukrainian specialists from the National Anti-Corruption Bureau of Ukraine (NABU).

Naamini Mr. Hart kuna taarifa nzito ambazo aliweza kuzing'amua juu ya uozo wa serikali ya Kiev na ndio maana wakaamua kumnyamazisha mazima.

So far hakuna taarifa yoyote White House waliyoitoa mpaka sasa juu kifo cha Mr. Hart.

Will the US react in any way, or is the life of an American worth nothing to Washington?
IMG_20231006_174325.jpeg
IMG_20231006_174200_305.jpeg
 
Mhasibu raia wa Marekani Martin Hart amekutwa amekufa katika mazingira ya utata mkubwa jiji Kiev nchini Ukraine.

Mwili wake ulikutwa usiku katika kingo za jengo linaloendelea kujengwa.

Polisi wa Kiev wamedhibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo wameeleza sababu ya kifo cha mhasibu huyo ambaye inasemekana alikuwa akifanya upelelezi wa rushwa katika usambazaji wa silaha za kijeshi nchini humo unaolikabili jeshi la Ukraine.

Kabla ya umauti, Hart alikuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na Taasisi ya kupambana na rushwa ijulikanayo kama Ukrainian specialists from the National Anti-Corruption Bureau of Ukraine (NABU).

Naamini Mr. Hart kuna taarifa nzito ambazo aliweza kuzing'amua juu ya uozo wa serikali ya Kiev na ndio maana wakaamua kumnyamazisha mazima.

So far hakuna taarifa yoyote White House waliyoitoa mpaka sasa juu kifo cha Mr. Hart.

Will the US react in any way, or is the life of an American worth nothing to Washington?View attachment 2773719View attachment 2773720
Kinachofuata ni mamluki wa beberu mkuu na, beberu wa ulaya naye kukata shauri🏃🏃🤔
 
Who cares?? Vita lazima iendelee labda aingie Trump pale Oval Office
 
Back
Top Bottom