Recent content by bulinge

  1. bulinge

    Matokeo ya chuo yanaweza kutolewa bila kupitishwa na bodi.

    Badala ya kujibu nilichoiliza ww unaleta kejeli!kama hujui kitu afadhali ukae kimya maana hakuna atakaye kuona mjinga.
  2. bulinge

    Matokeo ya chuo yanaweza kutolewa bila kupitishwa na bodi.

    Hayo nimawazo yako kaka siwezi kukuzuia kuandika kile unachokifikilia pengine uwezo wako wa kufikiria ndiyo umekomea hapo.mm sijafeli kama unavyofikiria.
  3. bulinge

    Matokeo ya chuo yanaweza kutolewa bila kupitishwa na bodi.

    mm ni mwanafunzi ktk chuo kimoja wapo kilicho chini ya wizara ya maliasili na utalii na 23 -dec-2013 matokeo yalitolewa bila kupitishwa na bodi ya chuo. sababu iliyopelekea matokeo hayo kutopitishwa na bodi ni bodi iliyokuwepo kumaliza muda wake na waziri wa maliasili na utalii alikuwa hajateua...
  4. bulinge

    Hivi Geita kuna mbunge?

    Acha watu wajifunze !maana tunatabia ya kutoamini mpaka tuone!kila aliye na macho ameona.
  5. bulinge

    Hivi Geita kuna mbunge?

    Walimchagua Donald Max wakawa wanamwita jembe,sasa jembe limelima kwenye rami limeishiwa makali! Kazi yake imebaki kunywa pombe na kutanua na walembo hili ni funzo kubwa kwa wanageita 2015 msifanye tena kosa hakuna jembe ndani ya ccm.
  6. bulinge

    Geita: Polisi waua mfanyabiashara wa madini na kupora milioni 350

    Sio bukoba ni Lunzewe mkoa wa Geita.
  7. bulinge

    Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

    Pasco acha akome sialiona bwana six anafaidi!Na bado mpaka 2015 ataiona joto yake.
  8. bulinge

    Mgomo wa walimu wanukia, na wafanyakazi wa migodini kuacha kazi

    Bwana mushi kaambiwa sisi ma miner tumesha chizi kama mlikuwa hamtujui sasa mtatujua sababu mmetugusa pabaya. Pia kaambiwa ampelekee salamu mkurugenzi mkuu wa SSRA maamuzi wanayoyafanya yeye na mume wake asiyalete kwenye fedha za watu. Sijui kama Bwana mushi atakubali kurudi hapa GGM.
  9. bulinge

    Mgomo wa walimu wanukia, na wafanyakazi wa migodini kuacha kazi

    Jumamosi wafanyakazi watafanya wa mdodi wa dhahabu wa Geita tukishilikiana na wafanyakazi wenzetu kutoka Bulyanhulu na kakola tutafanya maandamano ya amani kupinga sheria ya marekebisho ktk mifuko ya hifadhi ya jamii. Hii leo Bwana Mushi ambaye ni mkurugenzi wa utafiti na tathimini wa SSRA...
  10. bulinge

    Tusisubiri Mtetezi suala la Pensheni atoke nje ya wafanyakazi!

    Jamani hapa geita gold mine hali ilikuwa tete na leo hii mkurugenzi wa UTAFITI NA TAMITHIMINI WA SSRA alikuja kutoa ufafanuzi. Lakini amejikuta hoi baada ya kushindwa kujibu hoja za wafanyakazi ambazo zilionekana kuwa juu ya uwezo wake. Wakati mwingine alikoshwa koshwa na chupa za maji baada ya...
  11. bulinge

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    For sure nichanganyikiwa kwanza ndio nina miaka 26 nilikuwa nategemea NSSF yangu inisaidie nirudi shule sasa ndoto zangu zote zimevulugika nafuu kuingia vitani kuliko kuvumilia manyanyaso haya.
  12. bulinge

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Kwa hali ilivyo sijui hicho kikao cha kukusanya maoni ya utungwaji wa kanuni itakuwaje? Wameshindwa kuwashilikisha wadau kwenye utungwaji wa sheria wanataka kutuvika kengele kwenye kanuni. Kimsingi mimi binafsi sikubali hasa ukizitia ajila za wafanyakazi wa migodi hazilindwi kisheria. Ikiwa...
  13. bulinge

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Mbona mimi sielewi,kila kukicha zinapatikana habari mpya. Tarehe 18 jully 2012 baada ya taharuki kuzidi kwa wafanyakazi baada ya mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF NA PPF kufanya semina hapa geita gold mine (GGM) na kukiri kuwa hili jambo lipo na litaanza kufanya kazi hivi karibuni jambo...
  14. bulinge

    AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

    Tatizo letu nikutokukubali ukweli mtu anaposema ukweli anakuwa adui. Kimsingi Lissu kaongea vitu vya msingi na kajenga hoja zenye nguvu binafsi nilitegemea serikali ijikite kujibu hoja badala yake wanatoa vitisho.
Back
Top Bottom