AG Kumshtaki Tundu Antipas Lissu

msitetee ujinga wa lisu,anadhalilisha wenzake mtu huyu ni hatari sana ktk taifa hili
 
Mbegu;4232761a52a2a]Lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira, na si mtaalam wa sheria za katiba, upo hapo ? kwa minajili hiyo basi utajua Lissu ni limbukeni wa sheria, na ni mpayukaji tu, kwa nyie mnaopenda hata mmeisha ingia upofu

jaffary, wewe si mjinga. Jipime mwenyewe. Lissu kweli si mtaalamu wa mazingira. Huyo AG wenu ambaye JK anamsikiliza kwa kila kitu ni mtaalamu wa sheria zote?
 
[/COLOR]

lakini uteuzi wa wakuu wa wilaya, mikoa ambao pia ni wabunge inahitaji uwe umesoma constitutional law?[/QUOTE]
 
Mzee wa vijicenti alikuwa mwizi.. Huyu wa sasa hivi ni kilaza na poyoyo wa kutupwa.. Bado kuna haja ya kuwa na mwanasheria wa serikali bungeni..?
 
Mtoa uzi unakuja nusunusu.sesion ya asubuhi baada ya TL kuongea Blandes akaomba muongozo kuwa Lisu kawakashfu majaji, Ndugai akaweka mkazo na kusema anategemea sesion ya jioni Lisu angeleta mabadiliko kufuta hiyo statement, sasa mlioona jioni hii mtupe muendelezo baada ya hapo.
 
Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka!
mkuu unaonekana una haraka sana, wengine hatukufanikiwa kufuatilia bunge, sasa unge tu brief kdgo kasema vipi ningeshukuru sana kwa niaba
 
mbona mnashindwa kufiri mara mbili.. kwani haya ni maneno ya Lissu Au kamati ya Ubinzani??
Think twice
 
Lissu nadhani wakati mwingine huwa narukwa kidogo na fahamu, kwani kwa kauli yake ya leo juu ya kuwadharau majaji ni wazi kabisa amepotoka, na hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumtetea Lissu labda awe na moyo wa chuma
Wewe umekurupuka ni kwa ajili ya pamapas kukubana au inakuwashawasha. Kwani la uongo alilosema ni lipi? Kwani hao majaji wa jk anaowachagua wana vigezo vinavyostaili? sio wote, na wengi ni fadhila analipa na wengine ni marafiki na watu wake karibu. Lissu hajawadharau majaji hata kidogo, alisema kweli kabisa, unajua dharau ni nini wewe au akili zako ni sawa na za magamba? maana magamba kutukana hawajambo ila mtu akiongea facts wanasema katukana. Ni kweli Mhimili wa mahakama siku hizi umekuwa sio wa kutenda haki bali kujinufaisha kwa rushwa. Katiba mpya rais asiteue majaji bali watume maombi na kujadiliwa na kupitishwa, maana udhaifu wa rais unatuharibia sana. wewe unategema mtuhumiwa wa richmond akifikishwa mahakamani au lulu thn jaji anayesikiliza hiyo kesi wawe 2 au 3 na ni wa fadhilia za rais watamtia hatiani huyo mtuhumiwa? si watapeleka taarifa kwa rais kumuomba atoe maamuzi yeye.Umeongea upuuzi think big
 
Mbegu;4232761a52a2a]Lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira, na si mtaalam wa sheria za katiba, upo hapo ? kwa minajili hiyo basi utajua Lissu ni limbukeni wa sheria, na ni mpayukaji tu, kwa nyie mnaopenda hata mmeisha ingia upofu

[/COLOR]

lakini uteuzi wa wakuu wa wilaya, mikoa ambao pia ni wabunge inahitaji uwe umesoma constitutional law?[/QUOTE]
 
Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka!

Ndio njia pekee ambayo ag anaweza kujifariji, ukiangalia vizuri huenda malalamiko ya uteuzi wa majaji unamlenga moja kwa moja!!!
Lissu anatisha!!!!!
 
Mbegu;4232761a52a2a]Lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira, na si mtaalam wa sheria za katiba, upo hapo ? kwa minajili hiyo basi utajua Lissu ni limbukeni wa sheria, na ni mpayukaji tu, kwa nyie mnaopenda hata mmeisha ingia upofu

jaffary, wewe si mjinga. Jipime mwenyewe. Lissu kweli si mtaalamu wa mazingira. Huyo AG wenu ambaye JK anamsikiliza kwa kila kitu ni mtaalamu wa sheria zote?

ni kwel kabisa huwezi kutumia kigezo eti Lissu amesoma Environmental law na kwamba hajui constitutional law! Constitutional law ni core subject linalofundishwa 1st year so basic constitutional issues mh. Lissu anazifahamu! Na hiyo bado siyo point, chakuhoji ni kuwa alichosema lissu kwa mfano wanajeshi kikatiba hawatakiwi kuwa member of any political party at the same time tuna wanajeshi ambao not retired but DC's, RC's who automaticaly ccm members!
 
Tatizo letu nikutokukubali ukweli mtu anaposema ukweli anakuwa adui.
Kimsingi Lissu kaongea vitu vya msingi na kajenga hoja zenye nguvu binafsi nilitegemea serikali ijikite kujibu hoja badala yake wanatoa vitisho.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka!

Hujui katiba inasemaje wewe; mbunge yoyote hawezi kupelekwa mahakamani kwa anachokizungumza kwenye mjadala wa bunge kama ilivyo kesi ya mahakamani haiwezi kujadiliwa bungeni. . .
 
Lissu ni mtaalam wa sheria za mazingira, na si mtaalam wa sheria za katiba, upo hapo ? kwa minajili hiyo basi utajua Lissu ni limbukeni wa sheria, na ni mpayukaji tu, kwa nyie mnaopenda hata mmeisha ingia upofu

kuna limbukeni zaidi yako?? Manake wewe hata hujijui labda kama nape anakufanyiaga kitu mgongoni mwako.
 
Ni kutokana na kauli yake ya dharau kwa majaji wa mahakama kuu na kuwataja kwa majina wahusika katika sakata la Ulimboka![/QUOTE]
jamani hapo pa kali km kweli Tobo Lisu aliwataja hao wahusika tujuzeni kwani wote tunafuatilia tusitwishane ujinga, na kuwachokoza majaji ni Dhahama wao ndio wameshikkilia Mpini je? mnamkumbuka Lema
/
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom