Tusisubiri Mtetezi suala la Pensheni atoke nje ya wafanyakazi!

haya sasa, tumelalamika weeee, utafikiri ni wajinga fulani hivi ambao hawajui la kufanya.

Sasa ni wakati wa kuweka mipango na mikakati, halafu utekelezaji.

Viongozi wa maandamano na migomo tuteuwe ifuatavyo.

A- Kituo cha haki za binadamu

B-CHama cha wafanyakazi TUCTA

C- Viongozi kutoka vyama vyote

D- Viongozi wa DIni

Kumbukeni kuwa hii haina itikadi ya Siasa na Haina dini.

Watu wote ni waathirika wa hili jambo bila kujali dini yako wala itikadi.

Msiogope, watakuja baadhi ya vibaraka kutukatisha tamaa na kutuvuruga.

Karibuni katika mjadala kupanga mikakati.

Kama ni kulalamika, usichangie hapa
 
Hii ndio nilikuwa naisubiria kwa hamu.
ningeshauri viongozi wa Dini wasishirikishwe katika hili.
Tukubaliane tu maandamano yawe ya muda gani? ni ya kudumu hadi kieleweke au ya mara moja tuu?
 
Naunga mkono hoja, unajua hawa CCM na makada wake wanatuona waTZ ni mazuzu sana... Hivi kama waliahidi kujenga daraja kigamboni, kwa nini source ya hela isiwe Gesi asilia au Madini???????? kwa nini iwe Mafao yetu kwa kisingizio cha kutuzuia tusichukue mafao yetu kama tunavyotaka sisi tunaochangia???????

Kwa nini watuammulie sisi tuishi maisha ya taabu katika umri wa miaka 20 hadi 55 kwa kisingizio cha kutusaidia kwa pension ya baadaye.

Wengine pension yetu ni kuwa na nyumba, kusomesha watoto vizuri basi, wakiweza kujitegemea watatusaidia tukizeeka na si serikali hii ambayo hata wazee wa miaka zaidi ya 90 inashindwa kuwapa matibabu bure.

Nadhani hizi ni njama za kina Dau na ndugu zake Kuzila hizi pesa na sina uhakika kama miaka 30 ijayo watakuwepo duniani maana maisha yenyewe siku hizi ni tia maji tia maji....

Je tutamwuliza nani??? maana hii ya mtu kuchukua pesa zake muda wowote kwanza inawatia hofu waajiri na hawa kia Dau.

Tuwe huru kuchukua pesa zetu
 
Hii ishu, mimi nashindwa elewa imeanzia wapi???
Pia kwa faida ya nani????

Hawa wanasiasa hawafai hata kidogo, yaani wametupora kwenye rasilimali za taifa hawakutosheka??
Wanatupiga kodi kubwa kama hawana akili nzuri,pia wameona haitoshi!!!!

Sasa wanataka wamalizie na kile kidogo tulichoweka. Hii haikubalikia hata kidogo, tuungane katika hili.
Yaani wafanyakazi tumegeuzwa tambara bovu wakati maisha yenyewe yapo juu.
 
Nimeajiriwa juzi eti leo naambiwa nenda NSSF ukafungue akaunti, la hasha nadhani nitawaomba waniwekee kwnye akaunti ya mshara fixed up to 10 yrs nizifuate lkn sio mambo ya NSSF.

Wewe uliyeuliza Order XXXV ya Civil procedure code <Cap 33> hiyo inahusu mashitaka ya fasta au immediate tofauti na normal procedure ya kufungua kesi.
 
Jamani hapa geita gold mine hali ilikuwa tete na leo hii mkurugenzi wa UTAFITI NA TAMITHIMINI WA SSRA alikuja kutoa ufafanuzi.
Lakini amejikuta hoi baada ya kushindwa kujibu hoja za wafanyakazi ambazo zilionekana kuwa juu ya uwezo wake.

Wakati mwingine alikoshwa koshwa na chupa za maji baada ya watu kutaka kumpiga.
Amesema wako tayari kuisitisha sheria hii kufanya kazi kutokana na mazingira magumu aliyoyaona hapa ktk mgodi wa dhahabu wa geita.

Pia watu kutoka kakola wametoa mfano hai wa mtu mmoja alifukuzwa kazi kwa kuongea kishwahili kweny radio koo.
Jamani kwa mengi zaidi tembelea fb group inaitwa workers trade union(miner solidality).
 
Mi nilichoka tu nilipoambiwa kwamba ukiacha kazi leo huku akiba yako ni milioni 2 na una miaka 30, utalipwa milioni 2 ile ile wakati una miaka 50 (20 years later). Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana na nimeamini wabunge WOTE ni wanafiki tu

Ubedui wa sheria hii hauishii hapo bali kuna hatari kwamba mtu akishaacha ama kufukuzwa kazi mahali fulani basi anaweza pata shida kupata kazi sehemu nyingine kutokana na sheria hii.

Say umeajiriwa na kampuni X kisha ukaacha ama kufukuzwa kazi. Wakati unatoka kwenye kampuni X assume ulikuwa na deni(unadaiwa na kampuni) la sh. 2 million.

Baada ya hapo unapata kazi kampuni Y.....unakuta baadhi ya kampuni hawa-confirm ajira yako hadi uwasilishe Certificate of Service toka kampuni X. Sasa kampuni nyingi huwa hazitoi Certificate of Service hadi ulipe deni lao!

Kabla ya sheria hii, mtu huyu angeenda kuchukua benefits zake NSSF/PPF or wherever na kisha kwenda ku-clear deni lake kwa kampuni X na kisha kupewa Certificate of Service na kuipeleka kwa mwairi mpya!

So, kwa sheria hii, hiyo opportunity haitakuwapo tena na hivyo ku-limit further opportunities!
 
Kwa kuwa wawakilishi wetu fibuka, tucta, tamico , trawu, chodawu, talgwu na wengine wamesaliti wafanyakazi wote wa nchii kwa kitendo chao cha kukukabali sheria dhalimu ya kupoka mafao ya wafanyakazi na kuyahonga kwa serikali, basi naomba wafanyakazi wote tujitoe kwenye vyama vyetu. Vyama hivi vinaishi kwa michango yetu na kwa hili la sasa la kuzuia mafao ni kwamba wamehonga mafao yetu ccm na ikulu.

Kuwawajibisha kwa usaliti huu, kuanzia mwezi wa nane makao makkuu ya vyama vya wafanyakazi nilivyovitaja wasipate tena michango toka matawini mpaka rushwa waliyo kula ili watusaliti iwatokee puani au la wawaendee bwana zao warekebishe sheria hiyo.
Jinsi ya kuwanyima michango: Wafanyakazi wote mahala pa kazi yaani tawini, pitisheni azimio kwa saini kwenye form kisha mzipeleke finance department kwamba hamtaki makato yenu yaende makao makuu ya chama chenu tena.
Wakirekebisha usaliti huu, ndipo muwafungulie mfereji wa michango yenu. Haiwezekani watu wawe wanalipwa kufanya usaliti. Yuda alilipwa kwa usaliti akaambilia kifo kwa kujinyonga. Nicholaus mgaya na wengine tuwanyonge kwa kuwanyima michango. Watakwenda kwa bwana zao sisiem na kuwapigia magoti.

Nawasihi sana wenzangu, tuanze kwa kuwawajibisha makao makuu ya vyama vyetu waliohongwa chai ikulu kisha wabunge wote wapuuzi, tena ni wote bila kuchagua chama. Wabunge wote ni wasaliti. Kuna faida gani ya kuwa na mbunge kama mchawi maji marefu? Anajua kitu zaidi ya uchawi?

Tuanze na vyama vyetu vya wafanyakazi, 2015 tuwanyooshe ccm , chadema na vyama cyote vya siasa. Kama ni rais bora awe mbwa kuliko mwana chama wa ccm , chadema, cuf au nccr. Wote wezi wa haki za mtanzania.
 
azimio hili litekelezwe haraka. sijasikia CCM wala upinzani wakipinga hili. CCM ni majambazi wabakaji wa hali waliozoeleka, kwa nini wapinzani nao wamsaliti? Ndiyo maana wanasiasa ni wajinga na hawastahili kuaminiwa.

bora awe mbwa kuliko mwana chama wa ccm , chadema, cuf au nccr. Wote wezi wa haki za mtanzania.[/QUOTE]
 
Rais awe mbwa? how this can be?? anyway wafanyakazi wa Tanzania tumezidi kulala ndio maana tunaonewa?sijui sheria hii ilipitshwa lini, lakini inashangaza TUCTA et al. hawakulisemea hilo? inashangaza mtu anauhifadhia pesa yako mfano NSSF au PPF nk halafu anakupa masharti hwezi kuchukua hadi ufikishe miaka 60 huku akijua life expectancy ya mtanzania miaka 47!!
 
CCM na SSRA wanalolitafuta watalipata tu,kwenye report ya mkaguzi CAG ya 2010/2011 imeonyesha wazi kwamba mifuko ya hifadhi za jamii ipo mbioni kufilisika kutokana na serikali kukopa mabilion bila kurudisha (na hawana hata dalili yakurudisha) na kupitia udhamini wa miradi mbali mbali ya kisiasa!!! Kuhofia hilo serikali ikaona bora ipige pini(idhurumu kwani JK anajua fika kwamba kati ya wanachama 650,000 hata laki hawatofikisha miaka 55 hivyo hao 550,000 fedha zao ndio kwishney)!!! Hapa JK na Wapiga Madesk na walala usingizi mmeingia choo cha kike!!

Ugaidi na uvunjifu wa amani mnauleta wenyeweeee!! Fedha yangu haitopotea kabisa lazima tugawane hasara!! Majengo yenu mliyojenga kwa fedha zetu yote tunayajua,burundi au somalia sio mbali kwenda kuchukua mabomu na grunates,ofisi ya SSRA Alpha House sio mbali mtamtia hasara Lowassa kwani jengo litashushwa tu,pia irene unajiweka hatarini
 
CDM NCCM nCUF mbona wako kimya kwa hili?kuna nini???nashindwa kuelewa kwa nini hawatoi hata tamko tukajua msimamo wao ni upi??hapa kuna michezo tumechezewa dawa yao inakuja haki tena,wao wachezee pesa zetu kwa mambo yao ya siasa leo wanatufanyia upuuzi huuu,mkakati ule ule,kila mfanyakazi na watoto wake na wategemezi wake kura kwingine tukipata wapiga kura 6mil inatosha kubadili watawala feki
 
Cha msingi hapa tunataka sheria hii ivunjwe na alie ipendekeza achukuliwe hatua basi tuache taarabu tuingie barabarani:bange:
 
Kwa kuwa wawakilishi wetu fibuka, tucta, tamico , trawu, chodawu, talgwu na wengine wamesaliti wafanyakazi wote wa nchii kwa kitendo chao cha kukukabali sheria dhalimu ya kupoka mafao ya wafanyakazi na kuyahonga kwa serikali, basi naomba wafanyakazi wote tujitoe kwenye vyama vyetu. Vyama hivi vinaishi kwa michango yetu na kwa hili la sasa la kuzuia mafao ni kwamba wamehonga mafao yetu ccm na ikulu.

Kuwawajibisha kwa usaliti huu, kuanzia mwezi wa nane makao makkuu ya vyama vya wafanyakazi nilivyovitaja wasipate tena michango toka matawini mpaka rushwa waliyo kula ili watusaliti iwatokee puani au la wawaendee bwana zao warekebishe sheria hiyo.
Jinsi ya kuwanyima michango: Wafanyakazi wote mahala pa kazi yaani tawini, pitisheni azimio kwa saini kwenye form kisha mzipeleke finance department kwamba hamtaki makato yenu yaende makao makuu ya chama chenu tena.
Wakirekebisha usaliti huu, ndipo muwafungulie mfereji wa michango yenu. Haiwezekani watu wawe wanalipwa kufanya usaliti. Yuda alilipwa kwa usaliti akaambilia kifo kwa kujinyonga. Nicholaus mgaya na wengine tuwanyonge kwa kuwanyima michango. Watakwenda kwa bwana zao sisiem na kuwapigia magoti.

Nawasihi sana wenzangu, tuanze kwa kuwawajibisha makao makuu ya vyama vyetu waliohongwa chai ikulu kisha wabunge wote wapuuzi, tena ni wote bila kuchagua chama. Wabunge wote ni wasaliti. Kuna faida gani ya kuwa na mbunge kama mchawi maji marefu? Anajua kitu zaidi ya uchawi?

Tuanze na vyama vyetu vya wafanyakazi, 2015 tuwanyooshe ccm , chadema na vyama cyote vya siasa. Kama ni rais bora awe mbwa kuliko mwana chama wa ccm , chadema, cuf au nccr. Wote wezi wa haki za mtanzania.

Ina maana ukikasirika hata kwenye familia yako unatumia maneno yasiyo ya mtu mwenye busara kama ambavyo maandishi mekundu yanavyosomeka? Mchango wako hauna maana tena machoni mwa wenye busara waliotaka kuona jisni gani maneno yako yangesaidia kujenga na siyo kubomoa. Hivi jamani tunashindwaje kujizuia kutumia maneno yaha ambayo dhahiri yanaonesha kama vile mchangiaji hakuzaliwa bali aliokotwa jalalani?
 
Back
Top Bottom