Ndugu, usiingilie mambo ya mtu na mkewe. Mwisho wa siku wewe ndio utaonekana mbaya. Kama rafiki yako haoni tatizo, tambaa. Miaka yote si umesavaivu bila kampani ya jamaa yako?
Anaandika kuwa katishiwa bastola na OCD. Kapigwa mabomu,mdogo wake ndie aliyemwokoa. This is OUR BELOVED TANZANIA,where power is sweeter than human dignity. Mcheki mwenyewe kaandika hapa: Zitto Kabwe | Facebook
Nasikia Temeke hapatoshi...mpaka watoto wameumizwa na mabomu ya machozi. Tarime nako kuna mtu kachinjwa. Jamani, CCM wanakaribisha vita. Kubalini mmeshindwa. Uroho wa madaraka hata kwenye maisha ya watu wenu? Hamkuumbwa mtawale milele!
Kubalini maamuzi ya wenye nchi!
Ila jamani...siamini kiwango hiki cha kujibu maswali ni cha presida wetu. Inasikitisha sana. Afu hana confo kabisa. Nini kimempata mkulu wetu? Hebu wekeni ushabiki...mnijibu kwa hekima.
Wadau, napenda kuwasukumia nafasi za kazi toka Twaweza-Tanzania. Click hio link hapo chini.
Wale wenye sifa zao wajirushe. Jobs at Twaweza :: Work with us :: About us :: Twaweza.org
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.