Jamani mdee na Mnyika vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mdee na Mnyika vipi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ghm, Nov 1, 2010.

 1. g

  ghm New Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau kama kuna mwenye updates pls
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nimetoka eneo la kujumlishia matokeo ya mnyika, bado kazi inaendelea, njia zooote za kuchakachua zimegonga mwamba, sasa wanavizia tu watu wapungue wamtangaze huyo wanaomtaka wao, lakini wanajiweka katika hali ngumu, matokeo ya jimbo la ubungo, kituo kwa kituo, yako wazi na hata mtoto wa darasa la tatu ukimpa ajumlishe atamtangaza mnyika kashinda
   
 3. N

  Nampula JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunawasubiri necv sasa
   
 4. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi niko tayari na manati yangu:nono:
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mazingira ya ubungo ni ngumu kumwimbia mnyika, this time around ccm chali, anayejua kuhusu mdee plz!!!
   
 6. Sir John

  Sir John Senior Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani kama kuna uwezekano ndesa na mbowe watumi chopper waje dar haraka kusaidia mnyika na mdee
   
 7. c

  castongo Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 16, 2008
  Messages: 44
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 25
  Hili neno la kuchakachua nimelisikia kwenye mambo ya mafuta. Hivi jheikei kalijuaje hili na ameliingizaje ktk mambo ya uchaguzi. Atakua amezoeazoea mambo hayo.
   
 8. b

  buliba Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwenye namba ya Mnyika aweke hapa tumtie moyo kijana wetu. Ila kwanini chadema wamekaa kimya mno?
   
 9. TWISA

  TWISA Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hadi kieleweke, wadau kazeni buti
   
 10. Igwamanoni

  Igwamanoni Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kila la heri Mnyika, mjengoni wanakusubiri.
   
 11. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tunahitaji kujua kulikoni Mdee,we can't miss her Mjengoni , ni muhimu kuliko wabunge 20 wa CCM
   
 12. Dr Hope

  Dr Hope Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaenda na wakati!
   
 13. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 624
  Trophy Points: 280
  Kabisa tunahitaji wabunge wengi sana kutoka nje ya CCM, tumechoka na vilaza wa kugonga meza na kusinzia bungeni bila kujua nini watanzania wanata na kutoa vipaumbele kwa mambo hayo.
   
Loading...