Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #21
Limeibuka swali la Kagoda, CAG amekwepa!
CAG amemaliza, sasa anaongea Zitto Kabwe. Ameshitushwa sana na stimulus package!, kumbe wezeiye walijigawiya mahela kupitia mpango huo.
kwenye red, huyu alishakufa siku nyingi
Hizi ripoti ningekuwa na uwezo ningewalazimisha watanzania wote wazisome kwa lazima..
kungekuwa na uwezekano tunazichapisha zote na kuzisambaza vijijini.sema watanzania ni wavivu sana wa kusoma.
nimezisoma so what next? serikalli itafanya nini?
Mzee Mwanakijiji, sio siri, sio tuu unahitaji kuwa na uelewa wa kiwango fulani kuweza kuzielewa vizuri, bali pia unatakiwa kuwa na passion to read, na muda hua wa kusoma pia uupate.Hizi ripoti ningekuwa na uwezo ningewalazimisha watanzania wote wazisome kwa lazima..