Recent content by Buldoza

  1. Buldoza

    TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

    Hivi kuna mtu anayeijua sura ya mtume ilivyo! Hiyo Mswidi kama anaijua mpaka sura ya mtume, basi katisheer!
  2. Buldoza

    TANZIA Mchoraji wa katuni ya Mohammad (Lars vilks) afariki dunia kwa ajali ya gari

    Unajuaje kama ni mbinu tu wametumia ili wawapoteze waliokuwa wanaomtafuta wamuuwe? Tuseme kafa kweli, je kifo chake kimefuta kile kibonzo akilini mwa watu?
  3. Buldoza

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Influenza, Hawa jamaa wameshajiona kwamba wao ni Untouchables. Kiasi kwamba mengine yameiba mpaka matrillion, lakini bado yapo uraiani, sababu tu ni wanachama wakati kuna wanaoshukiwa ambao wameshapewa kesi za uhujumu na wapo ndani mpaka leo, kila siku, uchunguzi haujakamilika. Kutokana na...
  4. Buldoza

    Agizo la Waziri Mkuu: Wafanyabiashara watatu wakamatwa kwa kuficha mafuta ya kula mjini Songea

    Niliposoma kichwa cha habari, nikakimbilia kufungua nione ni wafanyabiashara gani hao! Kumbe ni Wachuuzi! Kila kitu kinafanyiwa kiki kwa sasa kwasababu, jamaa hawana la maana la kuonyesha wanalolifanya. Kweli tumekwisha!
  5. Buldoza

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wakuu, hii mechi yetu ya leo na Everton itaonyeshwa na supersport kweli? Na kama itaonyeshwa, wamesema ni channel ipi?
  6. Buldoza

    Haji Manara hafai kuwa msemaji wa Simba

    Nasikia si mchoyo. Wengine wachoyo wa vitu vyao, utadhani wanavilipia bili ya mwezi. Wakati mwenzenu anasusia watu. Wataacha kumtunuku!
  7. Buldoza

    Yaliyojiri bungeni: Serikali kupitia TISS inahusika na utekaji sio kwa CCM wala upinzani

    Utaongelea uchumi upi wakati mtu anaogopa hata akienda shambani anaweza kutekwa. Bajeti ya kilimo ambao ndio uti wa mgongo ni asilimia 2%. Unazungumzia uchumi au uchimi?
  8. Buldoza

    Yaliyojiri bungeni: Serikali kupitia TISS inahusika na utekaji sio kwa CCM wala upinzani

    Wakati wa kampeni tuliwaambia kwamba huyo bwana hafai, hawakutuelewa. Hata jamaa akawaona hawana akili, akawaambia atawapatia elimu bure mpaka form four maana alishaona kwamba kwa mwenye elimu japo ya Form Four hawezi kuwa bwege. Sasa hii ndio Elimu ya bure anayowagawia. Ikifika 2020, kila mtu...
  9. Buldoza

    Hoja kumhusu Makonda: Wabunge wa CCM 'waanza kupangwa', ikilazimu Caucus kufanyika

    Ukimtoa mwenyekigoda, kwa Umuhimu kwa chama anafuatia Daud Bashite. Ukigusa, umegusa chama! Ndio maana hata alipoenguliwa katika ugombea Umoja wa Vijana, alirudishwa kwa nguvu kwa upande mwingine. Gusa uondoke wewe! Muulize jamaa yetu alitaka hata kuchapwa risasi kwa kutaka kumpinga! Chezeya...
  10. Buldoza

    Mahakama Kuu yatengua Hukumu ya Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali

    Yule hakimu aliyetoa Uamuzi wa kwanza amesoma wapi? Au mwalimu wake ni huyu jamaa aliyepata demotion ambae kwa Uzuzu wake hata hatambui kwamba amepata demotion! Sasa kama mwalimu mwenyewe ndio yule, hajitambui, products zake zikoje? Chinekeeee!!!!!
  11. Buldoza

    Uvamizi Clouds Media Group: Kamishna Sirro awataka wahusika wakaripoti polisi haraka

    Mimi naona hiki kitengo kifutwe tu maana hakina maana. Kama akina Lissu wanakwenda kukamatwa bila hata kuripotiwa na mtu, iweje Bashite ambae anaonekana mpaka kwenye CCTV akiwa na askari wenye silaha, wawe na kizunguzungu?
  12. Buldoza

    CCM hawajalaani uvamizi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar

    CCM ya wenye vichwa ilikuwa zamani. Sasa hivi waliobaki mikia tumboni! Ngosha akikuhisi tu kwamba umempinga Bashite, basi kadi huna! Maana yake Ulaji huna! Na wengi wapo huko kama kichaka cha kuficha madhambi yao.
  13. Buldoza

    CCM hawajalaani uvamizi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Thubutuuu!!!! Wakemee hawajitaki! Baba yao akisikia mtu kajifanya kimbelembele eti kukemea, siku hiyo ndio anatupiwa virago
  14. Buldoza

    Shibuda ataka Rais Magufuli aungwe mkono

    Anataka kutumia Usukuma wake kama advantage ya kupata uteuzi. Maana ameshamfahamu jamaa.
Back
Top Bottom