Haji Manara hafai kuwa msemaji wa Simba

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji, hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama Simba labda Ndondo Cup, huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na Yanga wataleta kombe kwa magoti Msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii, kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu, kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili, tunataka hoja za msingi, vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
 
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
kweli kabisa mkuu.
Yanga nao walikuwa kimeo Muro - hovyo kabisa!
 
Mkuu umegusa penyewe huyo jamaa hasitahili hata kuwa PR Wa kikundi cha taarabu... Yupo sharo saaaaana Ila ndio hivyo masuala ya bongo mengi yanaenda kimagumashi sana
 
Usishangae kukuta uongozi wa simba ndio unataka msemaji wa namna hiyo.....
 
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Hata mimi huwa ananiudhi sana yeye kila kitu anachukulia mipasho tu. Ndiye anayesababisha timu ikwame kupata ushindi juu ya kelele zake.
 
Manara na Muro walifanana sana kwa vingi, afadhali mmoja ni mtu wa mpira mwingine alivamia kabisa akawa analazimisha umaarufu wa haraka haraka
 
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Barua yenyewe wala haikwenda FIFA!
 
Bongo nyoso babu ndio maana vitu vya msingi tunawapa watu wa ovyo sasa mtu kama Manara ndio PR wa Simba SC nakumbuka kipindi kileeee timu zinaongozwa tu na watu wa mtaani wasio na ujuzi kabisa na uongozi.
 
Mi ni simba damu lakini sipendi huyu jamaa style yake ya usemaji,hafai kuwa msemaji wa club kubwa Kama simba labda Ndondo Cup,huyu jamaa mwaka Jana alituaminisha tunashinda kesi huko FIFA na yanga wataleta kombe kwa magoti msimbazi.

Kila saa kuandika pumba kwenye mitandao ya jamii,kuna mengi ya kuzungumzia katika soka na kuna vilabu kibao ligi kuu,kwa msemaji wa timu kubwa kila siku kuzungumzia kikuku ni upungufu wa akili,tunataka hoja za msingi,vitu vya maana siyo kujadili vikuku.
Msemaji wa manchester ni nani? Tuachane na ujinga wa wasemaji, wasemaji waende kwenye makongamano, soka letu tuliboreshe zaidi uwanjani.
 
Sare ya mbao mshaanza maneno

Juz mlishnda tatu na akasema sana mkafurahia mnyooo

mbao nao sio wazuri mm ni yanga damu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom