Recent content by bulbulmunar

  1. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la kutengeneza vitambulisho, business card, logo,vyeti mbalimbali pamoja na card za harusi

    Mkuu ongeza bidii maswala ya designing unahitaji kuwa more creative,kuna watu wako vizuri jaribu kuangalia kazi zao...na ujifunze program tofauti usitumie publisher (template)ukaona umemaliza kuna program kama Photoshop,illustrations, logo design,...nyingi sana jaribu kutumia...
  2. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Haechi,last princess
  3. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kukatika ghafla kwa mb kwenye line ya TTCL

    Unatumia window gani ?jaribu kulock update zote...itakusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Ukitataka kufanya kazi televison station kama graphics desgner unatakiwa kusoma masomo gani Advance

    Soma masomo yenye physics ukifanya vizuri endelea na computer information technology kuna mambo ya graphics au soma kozi za mawasiliano ya umma imekusanya mambo mengi, ...lakini usisahau lengo lako coz graphics designer inahitaji practical zaidi.All the best..fighting mie mwenyewe napenda hizo...
  5. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta internship or volunteer

    Mawasiliano ya umma. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta internship or volunteer

    Wadau napenda kutumia fursa hii kuulizia namna gani naweza kupata nafasi ya internship kwenye mambo ya media sanasana kwenye TV(video visual editor and graphics). Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Ufugaji kuku....tafuta kuku wakubwa 10....jogoo mmoja unaweza anza
  8. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Niuzie laptop budget 700k-800k

    Uko pande zipi mie nauza laptop...nitakuwekea Na program
  9. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop

    Lete 5na nusu uchukue mzigo....hii ni first product Na graphics yake sio mbaya.
  10. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop

    Na kama nikwa graphics inabidi uwe makini kufuatilia..
  11. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop

    Nenda kaulizie madukani ila itaanzia kwenye m...kuendelea ama sivyo Fanya mpango MTU akununulie Zanzibar au Nje..unaweza pata kwa bei poa
  12. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Msaada msaada wa software ya kuchanganya video na inayoweza kusave kwenye PC

    Ila inategemea wataka kuchanganya video namna gani...local au in advance.....kama ni advance inabidi utumie...premiere ama zile nyingine...
  13. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au nipewe nafasi katika TBC nibadirishe

    Hapo sawa kama sio TBC
  14. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop

    Yapu sijakataa....mkuu...inategemea mtu unahitaji kitu gani nani kwasababu gani
  15. bulbulmunar

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au nipewe nafasi katika TBC nibadirishe

    Kama hawana hao watu uliowataja like presenter,graphics designer...unadhani unadhani utafanya TBC iwe Na muonekano..wakuendelea?ama vyote utafanya wewe.
Back
Top Bottom