Natafuta laptop

Natafuta laptop

Mie Nina lenovo...LENOVO G500,RAM 2GB,proceccer 1.90GHz,inatumia program nyingi...except final cut....iko full package kwa program...now INA window 10
96ea0f1f88c7226c2a9fd0a6ba7a4ae4.jpg
Ya kwako ina specification ndogo ila bei kubwa
 
Manufacturer: Hewlett-Packard
Product Name: HP ProBook 450 G1
Memory 8GB
Processor Intel Core i3-4000M CPU @ 2.40GHz × 4
Graphics Intel Haswell Mobile
Disk 500GB

Bei Tsh 450000
Aiseeeeeee iyo safi sana inapatikana wap
 
Jamani habari zenu wanajamvi
Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi
Ni pm nikupe yangu... hp i3, internal 320gb, ram 4gb kwa 400k.
 
IPO yangu bei rahisi kabisa 230,000 tu HP
HDD 250
Ram 1gb
Betri 30min

0762612213
 
KIWANJA KINAUZWA-KIPO KIGAMBONI KIMEPAKANA NA KIDETE SECONDARI.KINA UKUBWA WA EKAR MOJA(1).UMBALI KUTOKA KWENYE PANTONI NI 10KMS.HAKIJAPIMWA.UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI INAYOTOKEA FERY HADI HAPO KWENYE KIWANJA NI KAMA METER 200. BEI NI SHS MIL 35.BEI INAPUNGUA.SIO MBALI KUTOKA BAHARINI.MAWASILIANO 0767-61 00 68

Nitaftie kiwanja cha 25*30 maeneo hayo tufanye biashara faster tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom