Natafuta laptop

castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
1,399
2,440
Jamani habari zenu wanajamvi
Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi
 
Mie Nina lenovo...LENOVO G500,RAM 2GB,proceccer 1.90GHz,inatumia program nyingi...except final cut....iko full package kwa program...now INA window 10
96ea0f1f88c7226c2a9fd0a6ba7a4ae4.jpg
 
KIWANJA KINAUZWA-KIPO KIGAMBONI KIMEPAKANA NA KIDETE SECONDARI.KINA UKUBWA WA EKAR MOJA(1).UMBALI KUTOKA KWENYE PANTONI NI 10KMS.HAKIJAPIMWA.UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI INAYOTOKEA FERY HADI HAPO KWENYE KIWANJA NI KAMA METER 200. BEI NI SHS MIL 35.BEI INAPUNGUA.SIO MBALI KUTOKA BAHARINI.MAWASILIANO 0767-61 00 68
 
Nijulshe nahitaj Laptop Ram zaid ya 8gb 1Tb internal. Graphic kubwa kwa arctecture.
Ata kesho naweza lipia km ipo
 
Nijulshe nahitaj Laptop Ram zaid ya 8gb 1Tb internal. Graphic kubwa kwa arctecture.
Ata kesho naweza lipia km ipo
Nenda kaulizie madukani ila itaanzia kwenye m...kuendelea ama sivyo Fanya mpango MTU akununulie Zanzibar au Nje..unaweza pata kwa bei poa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Jamani habari zenu wanajamvi
Nilikuwa natafuta laptop hdd500 nakuendelea, ram 4 na 8 ,procer speed 2.1 ghz aina ya rama intel core i5 na kuendelea iwe nzuri betri iwe poa iwe nauwezo hata wakukaaa masaa matatu na zaidi

Manufacturer: Hewlett-Packard
Product Name: HP ProBook 450 G1
Memory 8GB
Processor Intel® Core™ i3-4000M CPU @ 2.40GHz × 4
Graphics Intel® Haswell Mobile
Disk 500GB

Bei Tsh 450000
 
KIWANJA KINAUZWA-KIPO KIGAMBONI KIMEPAKANA NA KIDETE SECONDARI.KINA UKUBWA WA EKAR MOJA(1).UMBALI KUTOKA KWENYE PANTONI NI 10KMS.HAKIJAPIMWA.UMBALI TOKA BARABARA YA LAMI INAYOTOKEA FERY HADI HAPO KWENYE KIWANJA NI KAMA METER 200. BEI NI SHS MIL 35.BEI INAPUNGUA.SIO MBALI KUTOKA BAHARINI.MAWASILIANO 0767-61 00 68
kwani ukianzisha uzi wako inagharimu bei?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom