Recent content by Bulaya001

  1. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Mafwele Atinga Stendi ya Magufuli Kuangalia Hali ya Usalama . Askari na Wananchi Wafurahia Kumuona na Kupiga Naye Stori

    Mpaka nimedondosha simu kwa mshtuko kumuona huyu jamaa.. aiseee Dunia sio mbaya ila watu wake sasa
  2. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Kama taifa maombi yetu ya ajiri wa kwa nguvu za ajabu
  3. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Sie waabudu mizimu tuna nafasi gani Bhagosha??
  4. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Chochote nachoweza kutoa, nafanyeje maana nimeguswa na hali ya mtoto wetu!
  5. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Video: Netanyahu ahutubia viti vitupu wajumbe wengi wasusa kumsikiliza

    Kwa hiyo Allah ameshindwa kufanya kitu kabisa, mpaka albadir imeshindikana kufanya kitu kwa hawa huyu mtu??
  6. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na hizi nchi zingine hazifiki 2030 zikiwa nchi moja.

    Tanganyika yetu, Zanzibar yao
  7. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

    Nchi hii ya hivi ndio TAL anaipambania
  8. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Gambia wamkumbuka Yahya Jammeh. Wana hamu arudi awe rais tena

    Mama yako akiondoka kwenda wapi tena, ama una wa mama wangapi??
  9. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya XI Jinping: Trump mwenyewe aenda uwanjani kumpokea

    Show them your a man, na ndio anachokifanya china
  10. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    duniani Africa bado inahesabika kama makoloni na sio nchi kamili, Africa hatuna viongozi tuna wajinga wanaovalia suti na wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri
  11. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Tukisikia Sandaland Katekwa na kupotea hatutashangaa

    Mifumo haipo active kabisa, tutastaaribika lini sie watu wajinga wa kiwango hiki?
  12. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

    Taasisi haina weredi, nay wa mitego alisema wangekuwa watoto angeshawachapa, video ya harmonize ambayo ume vunja heshima ya mtazamaji si sawa ila nyimbo za wasanii wa America wanaokuwa uchi kabisa ni sawa kurushwa kwenye tv zetu.. wana force tuishi zama ujima na si vinginevyo!
  13. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Wanaoichukia AI wapata pigo: Sasa Injili ni mbele kwa mbele!

    Nyimbo nyingi za AI ama sijui tuziite za SI kama ulivyodai ndugu mtoa Uzi, ni moja kati ya nyimbo za hovyo haswaaa yaani hazina vina wala mizani aibu tupu!!
  14. Bulaya001

    JamiiForums Tanzania Marekani yarudisha Dola Milioni 2.5 kwa Gambia ubadhirifu uliofanywa na Rais wa zamani Yahya Jammeh

    Utakuta mtu anaandika Black Lives Matter kwenye nchi zilizokuwa na utawala bora ila hawezi kusemea haya!!
Back
Top Bottom