Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..
Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.
Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..
Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida
Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..
Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...
Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee
Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..
Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu
Watoto wa kinondoni ndo maana mnafirwa matako yakoIko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..
Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.
Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..
Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida
Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..
Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...
Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee
Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..
Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu
Pole mkuu ulijichanganyepo sioNdio kwani ni ulemavu nyoh!
Walaaa! Inatokea tu sio mpaka ujichanganye..Pole mkuu ulijichanganyepo sio
Yaani ni kasheshe!Mapenzi ndo Yako hivyo mkuu hapo yeye kazama halafu wewe hauna hata hisia nae
Muda huo huo Kuna ma msela yanafukuzia halafu Hana muda nao
Hapo hapo unakuta Kuna pisi umeielewa ila Wala haina muda na wewe
Ndo mapenzi yalivyo unaempenda kampenda mwingine huyo mwingine na yeye ana mwingine
Huyu demu wako utakuta akitongozwa anasema ana mtu wake
Mtu wake mwenyewe Sasa kumbe na yeye anatafuta mtu wake
Pole sana isitokee tenaWalaaa! Inatokea tu sio mpaka ujichanganye..
Mambo ya kuzungusha uno unayapenda sana 😀Ulivyokua unazungusha uno na kusifia tamu tamu ikiwa huna chemistry naye ulikua unategemea nini, muoe huyo ndiye mama watoto😜
mwamba unajua jinsi mimba inavyotungwa? Mbona umeuliza swali la kijinga?Umeuziwa mbuzi kwenye gunia, mimba gani hiyo ya upwiru wa siku moja.