Recent content by Bukwali nyumbani

  1. B

    Anne Kilango Malecela anena haya baada ya taarifa ya kuenguliwa nafasi yake

    Hii ndo Tanzania,Askari polisi mwenye utitiri wa majengo anabadilishiwa nafas,huyu kuongopa tu,et katumbuliwa!!Ndo maana kwenye katiba ya warioba hiv vyeo vya kupewa tulitaka viondolewe.
  2. B

    Huyu hapa Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akitanua na Nyumba na Magari ya Kifahari. Mbeya mtasubiri sana

    Duh! watu wengine bwana! umekaa ukafikiria ukaona upost huu ujinga? nimeamin kweli una utapiamlo wa akili!!!
  3. B

    Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    Alienda chadema kutimiza matakwa ya kisheria,sasa lip la ajabu akitangaza kurejea Cuf? watu wengine bwana! umeona lisikupite!!!?
  4. B

    Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Watanzania kwa kujiliwaza bwana! hebu twende taratibu budget ya fedha ya mwaka 2015/2016 ilikuwa trion18,kat ya hizo za nchi wahisani zilikuwa ngap? mtu anakwambia imefka wakat tujitegemee wakat anajua hata umeme wa kuwasha nchi nzima kwa siku mbili tu mfululizo haupo mpaka wazungu.miaka zaid ya...
  5. B

    Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Watanzania kwa kujiliwaza bwana! hebu twende taratibu budget ya fedha ya mwaka 2015/2016 ilikuwa trion18,kat ya hizo za nchi wahisani zilikuwa ngap? mtu anakwambia imefka wakat tujitegemee wakat anajua hata umeme wa kuwasha nchi nzima kwa siku mbili tu mfululizo haupo mpaka wazungu.miaka zaid ya...
  6. B

    Nyumba ya mbunge wa Babati Mjini yazua tafrani

    Umepost nn sasa? mpiga kura wakati an agenda kukopa ela bank alimushirikisha mbunge?.kawaida kukopa harusi, kulipa matanga..
  7. B

    Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    kipimo upimiacho wenzako na wewe utapimiwa hicho hicho!!Atulie akamuliwe jipu
  8. B

    Usahihi wa uteuzi wa Migiro kuwa balozi

    Wewe ungekuja na mtizamo wako,sio kuanza kuongelea elimu za wenzako kwani we umesoma kumzidi nan?
  9. B

    Gratian Mukoba, fanya sherehe ya mwaka tulipwe deni letu

    Tatzo lenu walimu hamnaga msimamo,mkigoma wakawatisha munalegea,na wakati umefika kutenganisha chama chenu,walimu ngaz ya primary wajitegemee,secondary & vyuo wajitegemee.make hawa wa chin wanawacost sana kwenye maamuzi.
  10. B

    Hashim Rungwe, akosoa kauli za Rais Magufuli

    Huyu nae tumemchoka ni kama "popo" maneno mengi tu.
  11. B

    Ama kweli dunia tambala bovu, Aden Rage amepotea machoni na masikioni

    Kama aliendekeza mipasho bungeni na yule "kibajaj" ulitegemea nin? ccm ina wenyewe mkuu!
Back
Top Bottom