SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Ndugu Gratian Mukoba, madeni yetu walimu ni ya zamani kuliko hata yale ya mahakama, sasa utaratibu wa sasa ni kufanya sherehe, unamualika rais, unaita wandishi wa habari then rais anatulipa in lumpsum. Tunakuomba kabla ya mwezi wa tatu kuisha andaa sherehe ya walimu ya kitaifa, ili tulipwe pesa zetu mbele ya waandishi wa habari, maana hamna namna sasa
serikali imeshindwa nini kuwalipa mahakama katika mafungu(installment) ili hizo billion 12 na sisi tumegewe hata billion nne, Unampaje mtoto wako mmoja ada ya mwaka mzima, na mwingine unamuacha anakaa nyumbani, wakati ungeweza kuwapa wote wawili ya nusu muhula, alafu ukajipanga???
Mukoba , andaa sherehe tafadhari,