Majeshi ya Uganda watoa video ya uwezo wao, kabla ya uchaguzi

They should be ready for ANYTHING lakini sio kwa kuwatisha raia na "wataka mabadiliko"..
 
Show of force on your own people :(

Naona wanaiga the legend itself, chichiemu.

Sijui kwa nini hawa viongozi wanakuwa vinganganizi halafu waoga. Kama wanaona they have all rights kubaki madarakani, kwa nini wa force?!, waache waamue wananchi, sio wenye nchi.
 
Najua musuveni yote hayo anafanya ni kwaajiki ya woga na tena ni kuogopa changamoto anahisi nchi ikichukuliwa na upinzani ndio itakuwa tayari imesha uzwa kwa wazungu.
Na ukijaribu kufuatilia 80% ya bajeti uganda inategemea wafadhili na sijui hapo atakuwa amekwepa nini.
 
Nimeona sawa au?!,...80% of the budget?!!
I thought we were bad where we are!
 
kui huyo ndugu yako sijui anapata wapi takwimu zake, maana naona kama zitakua za kijiweni kule kitaa. Uganda kwenye bajeti yake, inategemea usaidizi wa nje kwenye chini ya asilimia 20%

CP-Uganda-budget-analysis-1.png

{{ meta.title }}
 
Hizo ni proaganda ni sawa na tanzania wanakuambi uchumi umepanda lakini wananchi wake mchana kutwa wanakula wadudu.
 
kui huyo ndugu yako sijui anapata wapi takwimu zake, maana naona kama zitakua za kijiweni kule kitaa. Uganda kwenye bajeti yake, inategemea usaidizi wa nje kwenye chini ya asilimia 20%

CP-Uganda-budget-analysis-1.png

{{ meta.title }}

Yeah, I think about a decade ago or around that time 2008/09 walianza ku reduce donor reliance.
Kama nakumbuka vizuri takwimu, walijaribu kuanza ku fund wenyewe budget yao at over 50% kama si zaidi. And if they kept on doing a good work up to now, watakuwa wamefikia pazuri.
 
Back
Top Bottom