Recent content by bukoba boy

  1. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Samaki kufungashiwa ndani ya mabasi ya abiria safari za usiku kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine

    Acha fix na wewe,samaki wabichi wawekwe kwenye gunia?halafu bus gani hilo linabeba samaki wabichi kwenye gunia?na nyie JF sio kila kero mnaleta huku,nyingine tupieni kwenye dustbin.
  2. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya NSSF

    Wadau kwema! Naomba kujua kuhusu bima ya Afya ya NSSF kwa wanachama wake.Iko vipi sababu amekuja Inspection officer wao ofisini ametushawishi tujiunge kwani ni kama bure sababu hakuna gharama nyingine zaidi ya michango.Unapewa list ya hospitali maalum kwenye mkoa husika.
  3. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji system ya Microfinance

    Yes
  4. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Fundi Wiring umeme wa Nyumbani

    Kwanini?hakuna conduit?
  5. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Fundi Wiring umeme wa Nyumbani

    Habari wadau humu! Hii kazi unaipa marks ngapi?
  6. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji system ya Microfinance

    Habari Wakuu! Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo. Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
  7. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Who is this?

    Ngoja kidogo
  8. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Ikitaka kuua kunguni,piga dawa,loweka ngui zote kwenye maji moto,toa kitanda na godoro nje kipigwe jua kwa week moja.
  9. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanasheria kwa ajili ya kufungua kesi ya madai

    Iko hivi... Mimi ni mmoja wa wanahisa wa kampuni fulani mkoani Arusha.Katika harakati za kutaka kuongeza mtaji,wazo la kwenda taasisi za fedha kukopa likaibuka.Moja ya mahitaji ya hiyo taasisi tuliyotuma maombi ni kutaka kujua historia ya ulipaji wa mikopo ya wanahisa wa kampuni. Sasa kupitia...
  10. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata vibali vya Microfinance kwa mtaji wa Milioni 5?

    Nipe hiyo kazi nikupe leseni aftre 90 days.
  11. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusafirisha pweza toka Lindi hadi mwanza pasipo kuharibika??

    Ushamba wa kusema pweza ni za nguvu za kiume,mimi nimeanza kula pweza nina miaka 7 na nikawapenda sahv niko Mwanza ,ntakua mteja wake wa kwanza huyu mwamba akifanikisha wazo lake.
  12. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BoT, TCRA na TRA hivi hizi Taasisi za Mikopo ya Online zipo Kisheria na zinalipa kodi?

    Tafuta hela zako wewe,sio kulia lia tu hapa.
  13. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Hii tabia mtu unasimamisha gari kumsalimia mtu yeye anaingia kwenye gari siipendi

    Rock kama The Rock Dwayne Johnson?
  14. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Picha: Ni aina gani ya Mbegu za Mahindi ambayo inazaa na kubeba Watoto wengi Kiasi hiki?

    Huo ni uongo,hakuna mbegu inabeba mahindi 4 yenye afya sawa(nzuri).
  15. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Hao wanaosimamishwa ni maokoto ya wafanyakazi wa bus,malipo yao madogo waoneeni huruma nao wanafamilia zinawategemea.
Back
Top Bottom