Recent content by bujashi25

  1. B

    Haji Manara ambwatukia "Shaffih Dauda"

    Kama kwel unaona logic za manara nizakisomi sishangai taifa hili hususan kwenye ulimwengu Wa soka kuwa bado tunaitwa kichwa cha mwenda wazimu kila MTU anajifunzia kwetu kunyoa cjui logic gani unazozielewa toka kwa huyu MTU tofauti na kupiga kelele kwenye media kila siku na kuwabebea watu li tv...
  2. B

    Simba sc kutoka timu ya makinda hadi timu ya Vibabu

    Nyie ISIDINGO fc hamna jipya niaher na coastal iliyoteremka daraja kuliko Chura matopen Sports club na msipoangalia mtaenda msimu wa Tano mkiendelea kubwabwaja hivyo hivyo...kila msimu ukifika mwisho yule Tajiri yenu Hanspope aka 'Mr. Kazi nyingi' anawaambia eti mtanjipanga msimu ujao mmeshakuwa...
  3. B

    Simba sc kutoka timu ya makinda hadi timu ya Vibabu

    GENTAMYCINE mwenzako Sembo naona alishaga acha kisabengo na kimbelembele chake, Tangu yule kocha wake Mwenye lesen daraja A ya FIFa wampuge pale Matopen fc kesha kuwa mpole kama maji mtungini
  4. B

    Simba sc kutoka timu ya makinda hadi timu ya Vibabu

    Tuisome namba kwa lipi? Nyie ISIDINGO fc shame on you...wakati WAKIMATAIFA wakiendelea kukamua tiz la uhakika nyie mmekazana kusajili vibabu naona maisha ya OMong pale Shura matopen Sports club yakiwa mafupi mno
  5. B

    Simba sc kutoka timu ya makinda hadi timu ya Vibabu

    Inavyoonekana timu ya wanaoitwa 'makinda fc' ndo bac tena sasa hiv wamegeukia vibabu vya kimataifa...ngoja tuwaone ISIDINGO Fc aka wazee wa next seasons aka wazee wa kujipanga msimu ujao wameshakuwa kama Tamthilia ya ISIDINGO haiishagi kila msimu wao wanasema wanajipanga msimu ujao
  6. B

    Jerry Muro hana kesi ya kujibu, aachiwa aende zake

    Huelewek umeandika nn...kajifunze kuandika kwanza ndo urudi tena kuchangia
  7. B

    Azam TV na Ndondo Cup, maamuzi ya nani?

    Nilitaka ninunue king'amuzi chao kumbe kure kabisaa..ngoja nikanunue startimes tu
  8. B

    Simba SC Njaa kali, Yanga yafanya kufuru kusajili

    Mkuu simba wana vyanzo gani vya mapato?? C wanakopeshana wao kwa wao huo ndani? Au haujasikia hans pope anaidai simba? Na pia watu kibao wanaidai simba???
  9. B

    Manji: TFF na BMT wanafanya njama jina langu likatwe ili nisigombee Yanga, nina ushahidi wa sauti

    Akili za kimatopeni bwana sasa wew ulitaka labda afanyeje
  10. B

    Vipi jangwani jamani Kuhusu Uchaguz

    Mkuu nani amekuambia au alikupigia cm privately kukujuza
  11. B

    Yanga mkimuacha Mbuyu Twitte mtajuta sana

    Chura ndio wale wale Wamatopen fc,Mikia au mbumbumbu fc wenyewe wanajiita eti simba sc
  12. B

    Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

    Mkuu hivyo ndivyo ving'amuzi venu(Matunguri) vinavyowadanganya?...kama nakuona ni jinsi gani roho inavyokuuma pole sana
  13. B

    Aveva na "genge" lako.. Jipimeni Mapema

    Mkuu sembo welcome back...mda mrefu sana uliluwa umetoroka na kerr yule kocha wenu mwenye leseni daraja A la FIFA..kwa mara nyingine karibu sana
  14. B

    Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

    Hivi ile michuano ya liver nile cup aka Musonye Bonanza cup iliyeyukia wapi? Maana nakumbuka Chura Matopen sports club ilikuwa ashiriki yale mashindano kwa tiketi ya viti maalumu beby
  15. B

    Kombe la shirikisho Africa: Yanga yapangwa na TP Mazembe kundi moja

    Hahah! Mkuu hata mim nilitaka kumuuliza hivyohivyo naona hawa chura matopen sports club wanajitoa ufaham
Back
Top Bottom