Mjukuu wa Sechenga
Member
- Nov 13, 2015
- 34
- 37
Simba wametenga mil 200 kukamilisha usajili wa msimu mzima. Huku yanga wamemnunua mchezaji mmoja tu Mil 240. Alafu michuano ya ligi kuu itakapo anza bado Mashabiki wa Simba watasema YANGA inabebwa. Sasa kama wewe unasajili wachezaji toka mwadui na Jkt ruvu.
Tena wakuokota okota. Utafanya vzr ktk ligi? Nakumbuka MANJI alisema ” naweza kuinunua SIMBA SC pamoja na viongozi wao wote nikawalipa mshahara kila mwezi wakala bure kisha nikawaacha pale viwanja vya jimkana wanacheza cheza tu,Pia mishahara ya wachezaji wangu wawili kwa mwezi wao ndio mshahara wa wachezaji wao wote" .
Pichani anaitwa CHIRWA mzambia msumbufu kama NgOMA jiandaeni kwa red card mkicheza kindezindezi kama kawaida yenu